Sisi wengine hata kiswahili kinatusumbua, sijui hicho kithungu tutaanzia wapi!!
Nikitaka binti mrembo, basi straight ahead nammwagia pesa tu!! nakumbuka siku moja niliitwa na rafiki yangu mmoja pale Hongera Bar, Sinza. Baada ya kufika pale nikamkuta jamaa yuko na mrembo mmoja wa IFM. Kwa kawaida jamaa akiwa na mabinti basi kuthungu kingi (of course anakijua vizuri sana). Tatizo la jamaa ni mbahiri sana kwenye kuspend.
Mi nilipofika nikamwita mhudumu na kuagiza chakula na pombe zikaanza kumwagwa pale. Huku jamaa anamwaga ngeli, mi natoa pesa kuagiza vinywaji vya wote 3. Pole pole mrembo akaanza kuamisha attention toka kwa jamaa kuja kwangu. Baada ya pale tukaenda Ngwasuma, mi ndo nikalipa entrance ya wote 3 na drinks zote za ndani. Wakati huo wote jamaa anamwaga ngeli!! Huwezi amini mwisho wa siku nikakokota mrembo mpaka home na kujisavia!!!
Money rules guys!!!