Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

wapo wanawake ambao wana pesa zao, yaani wakichagua mtu wanaangalia mambo mengine beyond ankara kwa sababu kwenye wallet zao ankara sio tatizo, kama kidume ana sifa wanazohitaji wala hawafanyi hiyana, mambo ya kufulia wanamrekebishia chap chap


Embu tuhamie kwenye PM tuongee mambo mazuri.
 
Ha ha ha ha, samahani mkubwa sikujua kuwa huyu ndiyo shemeji, haya tusihamie kwenye PM
nguli,
kutana na shemeji yako triplets!😀
naomba heshima ichukue nafasi yake
 
Ha haaa huu ushemeji wa ghafla ghafla unatoka wapii? whar a yu talkn' about?
mimi ni mkorofi sana waifu.hebu niangalie hapa miaka ya 1985:
attachment.php
 

Attachments

  • MfJ[1].jpg
    MfJ[1].jpg
    9.4 KB · Views: 167
Ha haaa huu ushemeji wa ghafla ghafla unatoka wapii? whar a yu talkn' about?


Nilivutiwa na point yako 1 hapo juu nikataka nikuchukue jumla kumbe wewe ni shemeji yangu kwa Geof nimekuwa mdogo kama Piriton.
 
ha haa mna vituko nyie... naona sipewi hata nafasi ya kuongea kiswanglish changu !!

siku njema, naenda kuhudumia familia...
 
Swadakta na naambiwa wanao soma chini ya muembe au chini ya mmbuyu ndo wenye akili.

_shulembuyuuuuu.jpg

hahahah...ndio maana inglishi kozi ni dili sana siku izi!LOL!!Ziko hadi za chini ya muti.
 
Hahaha! Kwa hiyo alivyorusha kombora, hapo hapo akakubaliwa na mambo ya kutesti kama ni mtambo au kabamia yakaanza? Hapa najua siwezi gongewa senksi. Najua kabisa! Labda baadhi ya wapwa.

Yes binamu kama kawa!!
 
Unajua ukimtamkia mrembo kuwa nimekumaind au nimekulove ina uzito zaidi kuliko ukisema nakupenda! unaelewa hili?

Kwa hiyo English ni nzuri kuliko Kiswahili katika Penzi?
 
kwa mwandishi wa hii thread!!
sawa kaka!! ila mi nawasapoti kwa sababu wanakuwa "practical", si wana jifunza kwa kujizoesha kuzungumza, kwa maelezo yako we vipi? english imekaa sawa?AU ndo mwenzangu na mimi wale wa ku-cramisha masomo(secondary na chuo) ukiambiwa kuelezea kasheshe! ni lugha ya kimataifa, hivyo kwa sisi watanzania tulio nyuma kutokana na ubovu wetu wa mawasiliano na nchi zenye maendeleo, inabibidi kila tunapopata muda wa kujizoesha tuutumie vizuri! unajua bongo wasichana wengi wanajua kizungu zaidi ya wavulana!!mi mvulana na kizungu changu kimepinda ila najitahidi hivyo hivyo!!
pia kuna maneno ya kiswahili kidogo hayana mvuto au makali, ukiyasema kwa kizungu yanapendeza. lakini wapo ambao wanatongozeka kwa kiswahili!
 
Kwa hiyo English ni nzuri kuliko Kiswahili katika Penzi?

Swadakta hii nimejaribu sana wakati na aprochi totoz nilipo kuwa natumia kiswahili ilionekana maneno mengi ya kiswahili ni makali mno kwa totoz lakini punde nilipo fanya kiswanglish maneno yale makali yakapungua maana siku ya kwanza unataka umege ukitamka kwa kiswahili utata lakini kwa kimombo dah ukali unakuwa umepungua.
 
Back
Top Bottom