kwa mwandishi wa hii thread!!
sawa kaka!! ila mi nawasapoti kwa sababu wanakuwa "practical", si wana jifunza kwa kujizoesha kuzungumza, kwa maelezo yako we vipi? english imekaa sawa?AU ndo mwenzangu na mimi wale wa ku-cramisha masomo(secondary na chuo) ukiambiwa kuelezea kasheshe! ni lugha ya kimataifa, hivyo kwa sisi watanzania tulio nyuma kutokana na ubovu wetu wa mawasiliano na nchi zenye maendeleo, inabibidi kila tunapopata muda wa kujizoesha tuutumie vizuri! unajua bongo wasichana wengi wanajua kizungu zaidi ya wavulana!!mi mvulana na kizungu changu kimepinda ila najitahidi hivyo hivyo!!
pia kuna maneno ya kiswahili kidogo hayana mvuto au makali, ukiyasema kwa kizungu yanapendeza. lakini wapo ambao wanatongozeka kwa kiswahili!