FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Unajua ukimtamkia mrembo kuwa nimekumaind au nimekulove ina uzito zaidi kuliko ukisema nakupenda! unaelewa hili?
ZA KINDOA NDOA HIZO!mimi sizitumiagi,ukitumia madem hawakawii kuihamia kinyemelahhahah
baby I love you
baby i need you
baby i am so into you
baby you kill me soft
baby you drive me krazy
baby you heheheh
dada nakupenda
zinasound tofauti eeh
hhahah
baby I love you
baby i need you
baby i am so into you
baby you kill me soft
baby you drive me krazy
baby you heheheh
dada nakupenda
zinasound tofauti eeh
dada nakupenda
zinasound tofauti eeh
Sisi wengine hata kiswahili kinatusumbua, sijui hicho kithungu tutaanzia wapi!!
Nikitaka binti mrembo, basi straight ahead nammwagia pesa tu!! nakumbuka siku moja niliitwa na rafiki yangu mmoja pale Hongera Bar, Sinza. Baada ya kufika pale nikamkuta jamaa yuko na mrembo mmoja wa IFM. Kwa kawaida jamaa akiwa na mabinti basi kuthungu kingi (of course anakijua vizuri sana). Tatizo la jamaa ni mbahiri sana kwenye kuspend.
Mi nilipofika nikamwita mhudumu na kuagiza chakula na pombe zikaanza kumwagwa pale. Huku jamaa anamwaga ngeli, mi natoa pesa kuagiza vinywaji vya wote 3. Pole pole mrembo akaanza kuamisha attention toka kwa jamaa kuja kwangu. Baada ya pale tukaenda Ngwasuma, mi ndo nikalipa entrance ya wote 3 na drinks zote za ndani. Wakati huo wote jamaa anamwaga ngeli!! Huwezi amini mwisho wa siku nikakokota mrembo mpaka home na kujisavia!!!
Money rules guys!!!
heee kweli utandawazi, utongozaji nao umekuwa mgumu, bora na sie tulitongozwa enzi ya mkoloni....
Enzi hizo kulikuwa kuna kutongozwa au kutongozewa? si wazazi walikuwa wanawachagulia wachumba?
Mbona Kaizer ni wa 85 + sasa umeolewa na mdogo wako?
Enzi hizo kulikuwa kuna kutongozwa au kutongozewa? si wazazi walikuwa wanawachagulia wachumba?
Mbona Kaizer ni wa 85 + sasa umeolewa na mdogo wako?
Enzi hizo kulikuwa kuna kutongozwa au kutongozewa? si wazazi walikuwa wanawachagulia wachumba?
Mbona Kaizer ni wa 85 + sasa umeolewa na mdogo wako?
ahhhh wapi, watu tumetongozwa tena kwa kusotea haswa....
Hii iwa inakuwa mbaya sana alafu iwa mnajifanya hamtaki kumbe mnataka ukikata mguu utasikia lawama mara ohh umenisusa mara ohh sijui nn kumbe sitaki na taka wenye mioyo dhaifu kama sisi iwa tunakata tamaa mtu unatongoza mwanamke miaka 5 bado hakijaeleweka wa nn achana nae.
imebidi kwanza nicheke, una tabu wewe, wengine walikula kwa macho kwa muda kidogo na sio kwamba alikuwa ameshaniambia shida yake then nikawa namzungusha, hapana! alikuwa ni mtu wa kufatilia nyendo zangu bila mie kujua...c unajua tena mtu unapotaka mke/mume?....alikuja kuniambia yote hapo baadae....upo hapo?
...c unajua tena mtu unapotaka mke/mume?....alikuja kuniambia yote hapo baadae....upo hapo?
Punguza jazba mpwa! nilishtuka kuona umeoa mtu aliyekuzidi umri ni kwa mazuri na sio kwa mabaya. Ila nafurahi kuona una penzi la dhati.