Hii ndo tongoza ya kisasa ama?
hahahhhahaahhah lol
uuhhh mbavu zangu sina hamu lol
aaaiiiiii kweli umenichekesha..
uanitongoza kama tuko shulea vijidudu lol
aaaa we hufai lol
hahaha Kama naona vile anvyobenua mdomo lol...Hai Baba_Enock, longi tyme not seen, what makes you bize?
By ze way, unapendilia kinywaji geni?
Ok, serengeti colid,!
I sink we nidi to eati somesing, sawa ehe?
kukhu nusu na chpzi meyai is inafu for me!
Hai Baba_Enock, longi tyme not seen, what makes you bize?
By ze way, unapendilia kinywaji geni?
Ok, serengeti colid,!
I sink we nidi to eati somesing, sawa ehe?
kukhu nusu na chpzi meyai is inafu for me!
Mbona kama nasemwa jamani??
Mdogo mdogo si unajua tunaanza from the scratch
hahaha Kama naona vile anvyobenua mdomo lol...
mmmhh tuko kwenye finish line and graduation ..
sijui kwa nini wataka kurudi nyuma lol
Siku hizi kwa kina dada esp. maduu wamesahau kiswahili kabisa na baadhi yao hata hawajawahi kusafiri na kufika Nairobi achania mbali USA/EURO kwa mfano ukikutana na mdada mlimani city ukamuuliza kitu labda sehemu flani ni wapi? .... utasikia nafikiri(itakavyo tamkwa burudani tosha) keep right then ask s/body utakayemwona ila walikagakumove to new place i think wapo karibu(itakavyo tamkwa burudani tosha).
Ukimkuta ulievutiwa naye ukute unataka kumfahamu zaidi ataangusha swagger la kufa mtu, am busy right now labda na na nazani u-u-ngechukuwa or Y cant I get ur no. na na na nita I mean will call u right back nikiwa free, nafikiri itakuwa pouwa... is that ok with u? Maneno ni yakutafutaaaa mpaka anakata stimu. Ukimkuta aliyesoma ST. MAMA YETU ZILE ndio balaa kabisa.
Na wewe usipochangia kwa kutupa neno 1/2 ya kidhungu ushamkosa mtu baada ya miaka 5 ......sijui?
Halafu sorry i don't eat beans i am allergic to them, excuse me can i get fresh chicken fried with fries make it quick i am so hungry, if you don't mind can you buy for me Vodacom credit 5000 please i need to call my auntie hope you don't mind, thanks for the lunch can you please pay for my taxi you are so kind actually you are such a gentlemen hey that's my number when i am free i will let you know ....huyo anaingia kwenye teksi ndukiii lol!!!!!!!!!
mi huwa naendaga huko kwenye english cozi lkn natoka kapa,why me/hahahah...ndio maana inglishi kozi ni dili sana siku izi!LOL!!Ziko hadi za chini ya muti.
Ahaaaa!!! Hautaki embe dodo tena
mi huwa naendaga huko kwenye english cozi lkn natoka kapa,why me/
Hai Baba_Enock, longi tyme not seen, what makes you bize?
By ze way, unapendilia kinywaji geni?
Ok, serengeti colid,!
I sink we nidi to eati somesing, sawa ehe?
kukhu nusu na chpzi meyai is inafu for me!
hahaahahah lol
jinsi ulivyoandika ni kama yamewahi kukutokea dear lol
ah ah ah mashalo balo eeeh?
Haya huwa yanawakuta wale Mabrazameni na Masharobaro
mmmhh we wataka kunipa yale machachu mie sitaki lol
mmmhh mie ndo nasema kiswahili ndo kitamaliza hizi shida zote....
we fikiria mzungu ambae hajui kiswahili vizuri..
anamtongoza msichana wa kiswahili kwa kiswahili..
hayo ndo mambo amabyo wabongo wengi tunafanya..
kama kweli lugha inaku babaisha borea uiachilie mbali kuliko kujiumbua lol
Mimi nimekwambia kiswahili kigumu bana........NAKUPENDA SANA NIKINYWA MAJI NAKUONA KWENYE GLASI, NIKILALA NAKUOTA WEWE BILA WEWE MIMI SIWEZI KUISHI TUPENDANE KAMA SAMAKI NA MAJI AU NYOKA NA MAJANI dah hizi verse ngumu sana kuzipata