Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 319
nilikuwa tu nataka kuchek mapigo yako ya moyo!mi nimekuachia ww bana siwezi mambo hayo bado umri hauniruhusu mpz
mmmhhh
si weye na TF mlikuwa mnafurahishana kipindi fulani
nini kulikoni..??
mbona hata hakusalimii??