Kama hujui faida za raia wengi kuwa nchi za nje, angalia remittances EAC

Kuwe na uamsho wa raia kuwa na passport, alafu masharti yasiyo ya lazima au sio ya kiusalma yapunguzwe
Hilo limeshapigiwa kelele sana na wenye akili lakini watawala ni kama vile wameziba masikio.
 

Hapo ndo faida za Dual Citizenship zinaonekana
 
Wewe unaonekana ni empty handed. Saudi Arabia ina diaspora wengi sana nje lakini ni nchi tajiri sana na raia wao wanaishi maisha mazuri kuliko hata baadhi ya raia wa nchi za ulaya.

Nchi kuwa na diaspora wengi haimaanishi kuwa ni masikini bali watu wanachangamkia fursa ili warudishe matunda kwenye nchi zao za asili.
 
Kwa lugha nyingine, nchi kuwa na diaspora wengi ni ishara kuwa nchi hiyo ina raia wengi ambao vichwa vyao vimechangamka.
 
Mkuu hizi mentality z a kuwa maisha bora au ili upate dola nyingi ni lazima uwe na watu wengi nje ni upumbavu inabidi tuzalishe zaidi ili tuuze nje zaidi uchumi haukuwi sababu ya kuwa omba omba ya msaada wa ndugu walio nje
 
Serikali ili ipate dollar iondoe ugumu wa passport kisha watu watoke utaona mambo yanakuwa fit na dollar inakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…