Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ilipinduliwaje na nani aliipindua?Allen,
Unaweza kunifahamisha kwa nini historia ya uhuru ilipinduliwa ikaandkwa vinginevyo?
Cameriego,Bandiko lako hili halimuongelei Mwalimu Nyerere na wakristu wengine!
Kinyungu,Unataka kuongeza viewers? Mbona maswali yangu ni rahisi sana kwa mtafiti kama wewe kama unavyojiita. Naomba unijibu kwa maandishi. Kama haiwezekani pia niambie🙏🏾
Allen,Ilipinduliwaje na nani aliipindua?
Na unaposema historia iliandikwa vinginevyo hapa unamaanisha nini?
Mambo mengi ambayo wewe husema ni "mapya" huwa yanakuwa yanajulikana.Allen,
Historia imeandikwa lakini siyo.
Hapa kuna video zangu zisikilize utajifunza mengi mapya hujayasokia popote.
Yani hata angekuwa anaandika mambo ya maana haoni hata nchi ilivyoshaghalabagala yeye kila kukicha uslamu na uhuruWewe Mzee ni shida sana!Maskin unaangaika sana!Waislam na uhuru,Waislam na uhuru!Kwa hakika una shida kichwani ila nadhani ni Geriatrics diseases zinakusumbua!Pumzika achana na hayo mambo!Kuwa karibu na muumba wako achana na haya mambo Mzee!
Mkuu pia fahamu asilimia kubwa karibu 85 ya wakimbizi duniani ni waislamu..Mohamed Said swali nje ya mada:
Kwa nini picha nyingi ambazo huwa unaziweka hapa huonesha hasa ukiwa Ulaya na Marekani. Hujawahi kufanya mijadala uarabuni?
Allen,Mambo mengi ambayo wewe husema ni "mapya" huwa yanakuwa yanajulikana.
Hakuna anayebisha kuwa kulikuwa na makundi mbalimbali yaliyohusika kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika, kinachobishaniwa ni wewe kupandikiza hisia kuwa waislamu wameondolewa kimkakati kwenye historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika, jambo ambalo si la kweli.
Inside10,Mkuu pia fahamu asilimia kubwa karibu 85 ya wakimbizi duniani ni waislamu..
Lakini chakushangaza hawaendi tafuta asylum uarabuni kwenye kiini cha dini yao..
Badala yake thet are flocked to western countries
Inside10,Yani hata angekuwa anaandika mambo ya maana haoni hata nchi ilivyoshaghalabagala yeye kila kukicha uslamu na uhuru
Pathetic
Kwa ivo kwa kuwa ni mwandishi basi ndiyo unamiliki historia yote kuhusu uhuru wa Tanganyika?Allen,
Nadhani mimi nayajua haya zaidi yako.
Mimi ni mwandishi.
Allen,Kwa ivo kwa kuwa ni mwandishi basi ndiyo unamiliki historia yote kuhusu uhuru wa Tanganyika?
Huwa sikuelewi ni kipi unaona kilikosewa na kitabadili nini kwenye historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika?
Nakubaliana na wewe... Jee unadhani kila kitu kuhusu wapigania uhuru wa Tanganyika kimeandikwa na kufundishwa shuleni?Allen,
Ingekuwa umesoma kitabu cha Abdul Sykes ungekutana na mambo hukupata kusomeshwa shule katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Ukandamizwaji wa haki ndani ya jamuhuri yetu mfano mmojaInside10,
Mambo shaghalabaghala nisiyoyaona ni yapi?
Ukandamizwaji wa haki ndani ya jamuhuri yetu mfano mmoja
Mimi sioni hili kama tatizo.Shida makala zako nyingi zimejikita upande mmoja. Ww ni miongoni mwa SUBJECTIVE HISTORIANS.
Kwangu Mimi kujikita upande mmoja siyo tatizo, kitu pekee nisichokubaliana nacho ni kuonesha kwamba hao ndugu zake wa Kariakoo kutokutajwa kwao ulikuwa ni mpango maalum wa kuipoteza historia ya mchango wao.Shida makala zako nyingi zimejikita upande mmoja. Ww ni miongoni mwa SUBJECTIVE HISTORIANS.