Kama Hujui Waulize Wanaojua: Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

Kwamba hao wazee wake walikuwa wajanja kuliko mtu aliyekuwa na masters!
 
Mzee said
Pumzika sasa maana hii agenda miaka ma miaka unailetaga tu kwa sura ile ile.

Itabadilisha nini sasa ikiwa kwa sasa nchi inaendelea tu? Hiyo history yako ipo subjective sana

As historian kwanza unatakiwa uondoe personal bias ambazo hapa kwa macho tu zinaonekana siku zote.

Kwahiyo kwako unaaminisha kuwa ni waislamu pekee ndio ambao walipigania uhuru nchi wengine hawakuwepo au kushiriki?

Nyoosha history yako vizuri ili watu waelewe
 
Mzee wetu bwana huwa anashangaza sana

Hata hapa unaona kabisa kuwa nyerere anadogoshwa makusudi kabisa na sikuzote anafanyaga hivyo sijui kwanini

Hatukatai hao wazee wake wana mchango tuseme hivyo lakini.

Kwanini nyerere na wengine wadogoshwe

Mara nyingi amekuwa akisema nyerere alikuwa mshamba mmoja tu na wao walimpokea mjini.😀
 
Wewe mpumbavu uhuru gani unao zungumzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…