Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
HII NI CHATING INBOX
Mkaka: hi!
Mdada: helow!
Mkaka: Mambo!?
Mdada: Poa.
Mkaka: Inakuwaje
Mdada: Fresh tu
Mkaka: Shwari kabisa?
Mdada: Shwari tu..
Mkaka: Mishe zinakwenda poa!
Mdada: Poa tu
Mkaka: Mambo mengine?
Mdada: Poa tu
Mkaka:ehe Nambie sasa...
Mdada: Poaz
Mkaka: hata mi nko poa vp michongo?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Pande zipi mrembo....
Mdada: Nipo home
Mkaka: Pande zipi hizo mi nipo Mwanza
Mdada: Dar
Mkaka: kwema pande hizo
Mdada: kwema tu
Mkaka: Maisha yanasemaje?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Familia iko poa Mdada: Poa tu
Mkaka: SAMAHANI HIVI UNAISHI NA
WAZAZI AMA UMEOLEWA? Na kama umeolewa je
unaionaje ndoa?
Mdada: kimya..
Baada ya dakika mbili mdada akamblock yule
mkaka......
**Wakati mwingine tunawalaumu bure akina dada
eti wanadharau huko Inbox. Sasa jamani kweli huyu
mtu huyu!! Unamsaidiaje hata kama ni wewe...Yaani
salamu imerudiwa weee mpaka kero halafu
mwishowe anauliza swali la ghafla tu ka mpu.mbavu
vile!!!
 
Mimi sizani kama ni PM tu hata huku whatsapp, fb mambo ni hayo hayo!!!

NB: Si kwamba huyo mtu hana madini, ni kwamba demu ana mtu wake na hana interest na jamaa!! ukiona hivyo angalia kushoto kulia alafu vuka barabara kwa speed kubwa kabisa!!! mara nyingi hao watu wakipigwa chini wanarudi tena kwa hao walio wakataa guess what is happen, storry inamgeukia tena demu!!
 
Well Upepo wa Pesa Umetoa Fact tupu,
Kumbe hata demu akiwa hayupo interest Men anaweza akapoteza points
 
Yaani ukimfanyia Hivi mtoto wa mujini sms ya tatu hujibiwi
 
Asante kwa kuniwakilisha besty..yani izo salam ad zmenifanya nmekua mjeuri ckuiz
 
Asante kwa kuniwakilisha besty..yani izo salam ad zmenifanya nmekua mjeuri ckuiz
Usiwe ivyo bhana, wengine tupo field ndio huwa tunajifunzia kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…