Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Hata ivyo unaweza ukapiga teknik mpaka ukauvuta umakini wake, easy tu
haya mambo sio siasa, unaweza tumia teknic flan kwa huyu alafu hiyo hiyo ikagoma kabisa kwa mwingine!!

cha msingi ukiona hiyo dalili fungasha vyako usepe ili kulinda heshima yako
 
Ivi kumbe uwa wanajibu Ata text.mi sijawai kuanzisha chatin na mtu social netwok
 
Angalia tofauti ya majibu haya:
Mkaka: Mamboz
Mdada: P
HII NI DALILI MBAYA KWAKO MKAKA

Mkaka: Mamboz
Mdada: Pouwa, mzima wewe?
EHEEE HII NI DALILI SWAFIII KABISAA.

Haijalishi hata kama huko mbeleni utajibiwa no chance, ila hutapanic. Ila hawa wa P hawa, ni kuwaombea njaa tu.
 
Hivi sijui unakuwaga na darubini
poa tu shunie yani unajua kabisa ndo naanza kujifunza kutongoza af unanitosa et kwa kurudia rudia salaam mara nyingi sikuilee inbox sawa tu mungu anakuona
 
Back
Top Bottom