Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

poa tu shunie yani unajua kabisa ndo naanza kujifunza kutongoza af unanitosa et kwa kurudia rudia salaam mara nyingi sikuilee inbox sawa tu mungu anakuona
Mmh nahisi umechanganya madesa
 
Acha ushamba aliyekwambia kutongoza kuna formula nani??[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
huyo jamaa kusoma hajui sawa, hata picha tu kama huyu ni mbuzi au twiga?
Yaan9 majibu yoote hayo ya mkato na bado akaendelea tu
 
yana nitokea sana tu ila kidume na kaza sielewi yan wala sitaki kujua ila ipo siku atanikumbuka
 
Tatzo hamna hela. Mi nilishawaambia vijana humu...hawataki kuelewa. Mwanamke hatongozwi jamani, mwanamke anavutwa. Ana vutwa na nn ?? (Mi sijui) Tehe [emoji23][emoji23]

Kuku mtege na punje za mahindi akinasa tu, unamchinja. [emoji23][emoji23]

Ww muache ajishaue....na wewe ringia hela zako cz u can get any woman, any time, anywhere. Gademit !!!
 
Tatzo hamna hela. Mi nilishawaambia vijana humu...hawataki kuelewa. Mwanamke hatongozwi jamani, mwanamke anavutwa. Ana vutwa na nn ?? (Jibu unalo) Tehe [emoji23][emoji23]

Ww muache ajishaue....na wewe ringia hela zako cz u can get any woman, any time, anywhere. Gademit !!!
Money Mwanamke gan asiependa Luxury ebooo nawaambia hiv Pesa tuu
1474051369048.png
 
haya mambo sio siasa, unaweza tumia teknic flan kwa huyu alafu hiyo hiyo ikagoma kabisa kwa mwingine!!

cha msingi ukiona hiyo dalili fungasha vyako usepe ili kulinda heshima yako
Lakini kweli
 
Angalia tofauti ya majibu haya:
Mkaka: Mamboz
Mdada: P
HII NI DALILI MBAYA KWAKO MKAKA

Mkaka: Mamboz
Mdada: Pouwa, mzima wewe?
EHEEE HII NI DALILI SWAFIII KABISAA.

Haijalishi hata kama huko mbeleni utajibiwa no chance, ila hutapanic. Ila hawa wa P hawa, ni kuwaombea njaa tu.
Hahaha Nyie akina CC. venossah irk shunie Mmesikia?
 
Back
Top Bottom