Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Duh kwangu Mimi ni tofauti kidog, Coz nikimfuata inbox sms zangu tano tu, alaf nakaa kimya, baada ya dakika kadhaa lazima ntaulizwa "mbna kimya vip tena" Lakin siandiki uozo huo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kulalake kwel mtupu...sema akinitumia za M- pesa hua najib[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Mambo? Upo poa, umepotea? Nimekumis,
hebu nipe story.
Junior vip hajambo?
Upo poa lakini? Haya nipe michongo....
Malizia kabisa nijibu pamoja teh teh teh wadada mna mijibu yakukimbiza watu [emoji16] natafuta pakuanzia eti unganisha naanzaje [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
This Is Facundo.
Facundo: Mambo.
Maisara: Poa,Mzima.
Facundo: Mzima, Mi Nataka Nikupenye.
Maisara :Nani? Mimi? Hivi Umenionaje Ww Mkaka Ebu Jiheshimu. Yani Unaniambia Mm Kama Umenikuta Uwanja Wa Fisi. Umenikera Sana. You Are So Disrespectful.
Facundo Did Not Go Meandering With Loads Of Salamus,Facundo Went Straight.
Be Like Facundo.
Ila Sasa Wanaume Wa Straight Ivyo Tunaonekana Wahuni,And Not Romantic...
Mkuu hawa watu wee acha tu kuna swaga zao hao ukiwanazo hata umwite kwa jina baya ataona unatania tu na anakuja kwa heshima kabisa ndo nlicho gundua kuna njia zao ukizipita tu hochoshi
 
Malizia kabisa nijibu pamoja teh teh teh wadada mna mijibu yakukimbiza watu [emoji16] natafuta pakuanzia eti unganisha naanzaje [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Teh Teh.... wew jibu moja moja.. au unataka msg za M PESA. [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji14]
 
Teh Teh.... wew jibu moja moja.. au unataka msg za M PESA. [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji14]
Ha ha ha alo kwambia nnashida vipesa vy mtu nani unaijua kazi yangu wewe usinicjoshe bhanaaa. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
HII NI CHATING INBOX
Mkaka: hi!
Mdada: helow!
Mkaka: Mambo!?
Mdada: Poa.
Mkaka: Inakuwaje
Mdada: Fresh tu
Mkaka: Shwari kabisa?
Mdada: Shwari tu..
Mkaka: Mishe zinakwenda poa!
Mdada: Poa tu
Mkaka: Mambo mengine?
Mdada: Poa tu
Mkaka:ehe Nambie sasa...
Mdada: Poaz
Mkaka: hata mi nko poa vp michongo?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Pande zipi mrembo....
Mdada: Nipo home
Mkaka: Pande zipi hizo mi nipo Mwanza
Mdada: Dar
Mkaka: kwema pande hizo
Mdada: kwema tu
Mkaka: Maisha yanasemaje?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Familia iko poa Mdada: Poa tu
Mkaka: SAMAHANI HIVI UNAISHI NA
WAZAZI AMA UMEOLEWA? Na kama umeolewa je
unaionaje ndoa?
Mdada: kimya..
Baada ya dakika mbili mdada akamblock yule
mkaka......
**Wakati mwingine tunawalaumu bure akina dada
eti wanadharau huko Inbox. Sasa jamani kweli huyu
mtu huyu!! Unamsaidiaje hata kama ni wewe...Yaani
salamu imerudiwa weee mpaka kero halafu
mwishowe anauliza swali la ghafla tu ka mpu.mbavu
vile!!!
 
Teh...
Mi sisemagi uongo.
Ila ndo uridhike na majibu yangu
Majbu yapi tena ayo ili nijiandae kisaikologia kabisa

Au Ni Yale ya P,Home,Nop,hah,Yep my. Nk. Km ni ya hivi basi ngoja niendelee Kuchunga ndama wangu
 
Hata madada nao baadhi wana hizo kero, unakuwa anataka jambo flani atazunguka weeee na vijisalam uchwara.....duuuuhhh....hadi keroooo.,.
Haahah... Au anasema, ''kunakitu nataka kukwambia lakini au basi''

Hahahah hapo kategwa mtu,
 
Back
Top Bottom