Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Salaaleeee,,,,,,,wapewe trainingNa humu jf wa hivo wamejaa kwakweli page 2 za pm ni salamu hizo salamu heri mkazitume redioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaaleeee,,,,,,,wapewe trainingNa humu jf wa hivo wamejaa kwakweli page 2 za pm ni salamu hizo salamu heri mkazitume redioni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee Kuna watu mpo kutuchekesha wengineUsiwe ivyo bhana, wengine tupo field ndio huwa tunajifunzia kwenu
Hiyo ni kujua status yakoHili swali utadhani wanaigiliziana,
You made my day [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalia tofauti ya majibu haya:
Mkaka: Mamboz
Mdada: P
HII NI DALILI MBAYA KWAKO MKAKA
Mkaka: Mamboz
Mdada: Pouwa, mzima wewe?
EHEEE HII NI DALILI SWAFIII KABISAA.
Haijalishi hata kama huko mbeleni utajibiwa no chance, ila hutapanic. Ila hawa wa P hawa, ni kuwaombea njaa tu.
Kweli mkuu...ata hujakosea ati.Haahah... Au anasema, ''kunakitu nataka kukwambia lakini au basi''
Hahahah hapo kategwa mtu,
Ungeelewa anatokea sehemu gani hata usingepost. wanaume wa sehemu zingine hatupo hivyo.[emoji44] [emoji44] [emoji44] [emoji44]HII NI CHATING INBOX
Mkaka: hi!
Mdada: helow!
Mkaka: Mambo!?
Mdada: Poa.
Mkaka: Inakuwaje
Mdada: Fresh tu
Mkaka: Shwari kabisa?
Mdada: Shwari tu..
Mkaka: Mishe zinakwenda poa!
Mdada: Poa tu
Mkaka: Mambo mengine?
Mdada: Poa tu
Mkaka:ehe Nambie sasa...
Mdada: Poaz
Mkaka: hata mi nko poa vp michongo?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Pande zipi mrembo....
Mdada: Nipo home
Mkaka: Pande zipi hizo mi nipo Mwanza
Mdada: Dar
Mkaka: kwema pande hizo
Mdada: kwema tu
Mkaka: Maisha yanasemaje?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Familia iko poa Mdada: Poa tu
Mkaka: SAMAHANI HIVI UNAISHI NA
WAZAZI AMA UMEOLEWA? Na kama umeolewa je
unaionaje ndoa?
Mdada: kimya..
Baada ya dakika mbili mdada akamblock yule
mkaka......
**Wakati mwingine tunawalaumu bure akina dada
eti wanadharau huko Inbox. Sasa jamani kweli huyu
mtu huyu!! Unamsaidiaje hata kama ni wewe...Yaani
salamu imerudiwa weee mpaka kero halafu
mwishowe anauliza swali la ghafla tu ka mpu.mbavu
vile!!!
Mimi sisubiri, navujisha mwenyewe.Hahaha wee subiri siri zako zivujishwe hapa
Kalaghabaho.Hapana sijaona, hebu nimention
hicho kilikuwepo enzi hizo siku hizi chapaaaaa tuKuna kitu kinaitwa "CLASS" mkuu..
ua la wengi upoooooAiseeee!! Bora nilikimbia
Ikiwezekana ya wiki nzima.
Haujambo lakini?
Toa suluhisho sasa[emoji3] [emoji3]HII NI CHATING INBOX
Mkaka: hi!
Mdada: helow!
Mkaka: Mambo!?
Mdada: Poa.
Mkaka: Inakuwaje
Mdada: Fresh tu
Mkaka: Shwari kabisa?
Mdada: Shwari tu..
Mkaka: Mishe zinakwenda poa!
Mdada: Poa tu
Mkaka: Mambo mengine?
Mdada: Poa tu
Mkaka:ehe Nambie sasa...
Mdada: Poaz
Mkaka: hata mi nko poa vp michongo?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Pande zipi mrembo....
Mdada: Nipo home
Mkaka: Pande zipi hizo mi nipo Mwanza
Mdada: Dar
Mkaka: kwema pande hizo
Mdada: kwema tu
Mkaka: Maisha yanasemaje?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Familia iko poa Mdada: Poa tu
Mkaka: SAMAHANI HIVI UNAISHI NA
WAZAZI AMA UMEOLEWA? Na kama umeolewa je
unaionaje ndoa?
Mdada: kimya..
Baada ya dakika mbili mdada akamblock yule
mkaka......
**Wakati mwingine tunawalaumu bure akina dada
eti wanadharau huko Inbox. Sasa jamani kweli huyu
mtu huyu!! Unamsaidiaje hata kama ni wewe...Yaani
salamu imerudiwa weee mpaka kero halafu
mwishowe anauliza swali la ghafla tu ka mpu.mbavu
vile!!!