Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 288
- 478
Fresh, za kupotea nzuri, Nipo, naonekana, sijawagaya...mweeeeh unanilipa? Haya nipe story hapo mtaani hamjambo? Wote wazima?Umepotea? Ulikuwa wapi? Kitambo, za kutukimbia? Hauonekani, umetugaya
Mambo? Upo poa, umepotea? Nimekumis,Sirudii tena [emoji5]
Malizia kabisa nijibu pamoja teh teh teh wadada mna mijibu yakukimbiza watu [emoji16] natafuta pakuanzia eti unganisha naanzaje [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mambo? Upo poa, umepotea? Nimekumis,
hebu nipe story.
Junior vip hajambo?
Upo poa lakini? Haya nipe michongo....
NopBora huyo kakujibu ki staarabu kuliko wale wa kukujibu
P
K
Mkuu hawa watu wee acha tu kuna swaga zao hao ukiwanazo hata umwite kwa jina baya ataona unatania tu na anakuja kwa heshima kabisa ndo nlicho gundua kuna njia zao ukizipita tu hochoshiThis Is Facundo.
Facundo: Mambo.
Maisara: Poa,Mzima.
Facundo: Mzima, Mi Nataka Nikupenye.
Maisara :Nani? Mimi? Hivi Umenionaje Ww Mkaka Ebu Jiheshimu. Yani Unaniambia Mm Kama Umenikuta Uwanja Wa Fisi. Umenikera Sana. You Are So Disrespectful.
Facundo Did Not Go Meandering With Loads Of Salamus,Facundo Went Straight.
Be Like Facundo.
Ila Sasa Wanaume Wa Straight Ivyo Tunaonekana Wahuni,And Not Romantic...
Teh Teh.... wew jibu moja moja.. au unataka msg za M PESA. [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji14]Malizia kabisa nijibu pamoja teh teh teh wadada mna mijibu yakukimbiza watu [emoji16] natafuta pakuanzia eti unganisha naanzaje [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ha ha ha alo kwambia nnashida vipesa vy mtu nani unaijua kazi yangu wewe usinicjoshe bhanaaa. [emoji1] [emoji1] [emoji1]Teh Teh.... wew jibu moja moja.. au unataka msg za M PESA. [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji14]
...umekataa salamu zangu .?Na sikupendiHa ha ha alo kwambia nnashida vipesa vy mtu nani unaijua kazi yangu wewe usinicjoshe bhanaaa. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]...umekataa salamu zangu .?Na sikupendi
Teh...Na wew utanidanganya nkianzisha konvo
HII NI CHATING INBOX
Mkaka: hi!
Mdada: helow!
Mkaka: Mambo!?
Mdada: Poa.
Mkaka: Inakuwaje
Mdada: Fresh tu
Mkaka: Shwari kabisa?
Mdada: Shwari tu..
Mkaka: Mishe zinakwenda poa!
Mdada: Poa tu
Mkaka: Mambo mengine?
Mdada: Poa tu
Mkaka:ehe Nambie sasa...
Mdada: Poaz
Mkaka: hata mi nko poa vp michongo?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Pande zipi mrembo....
Mdada: Nipo home
Mkaka: Pande zipi hizo mi nipo Mwanza
Mdada: Dar
Mkaka: kwema pande hizo
Mdada: kwema tu
Mkaka: Maisha yanasemaje?
Mdada: Poa tu
Mkaka: Familia iko poa Mdada: Poa tu
Mkaka: SAMAHANI HIVI UNAISHI NA
WAZAZI AMA UMEOLEWA? Na kama umeolewa je
unaionaje ndoa?
Mdada: kimya..
Baada ya dakika mbili mdada akamblock yule
mkaka......
**Wakati mwingine tunawalaumu bure akina dada
eti wanadharau huko Inbox. Sasa jamani kweli huyu
mtu huyu!! Unamsaidiaje hata kama ni wewe...Yaani
salamu imerudiwa weee mpaka kero halafu
mwishowe anauliza swali la ghafla tu ka mpu.mbavu
vile!!!
Ha,haaaa...Daah Venossah unakumbuka hata mimi nilikuuliza hivo hivo,ukanijibu unakaa na wazazi we mtoto wa gate kali hahahaaaaaa ina maana na mimi ni wale wale washamba?
Majbu yapi tena ayo ili nijiandae kisaikologia kabisaTeh...
Mi sisemagi uongo.
Ila ndo uridhike na majibu yangu
hehe.. mkuu ngangari kwenye mambo yasiyoingiza pesa? nayapa 10% teh tehHahahaha.... Mwanaume anatakiwa awe ngangari
Haahah... Au anasema, ''kunakitu nataka kukwambia lakini au basi''Hata madada nao baadhi wana hizo kero, unakuwa anataka jambo flani atazunguka weeee na vijisalam uchwara.....duuuuhhh....hadi keroooo.,.