Shunie mamboHivi sijui unakuwaga na darubini
Hili swali utadhani wanaigiliziana,aka: SAMAHANI HIVI UNAISHI NA
WAZAZI AMA UMEOLEWA? Na kama umeolewa je
Sanaa aisee yaan ww mambo yetu sijui unajuajeeKumbe haya mambo mnakutana nayo kwa wingi????
haya mambo sio siasa, unaweza tumia teknic flan kwa huyu alafu hiyo hiyo ikagoma kabisa kwa mwingine!!Hata ivyo unaweza ukapiga teknik mpaka ukauvuta umakini wake, easy tu
PoaShunie mambo
poa tu shunie yani unajua kabisa ndo naanza kujifunza kutongoza af unanitosa et kwa kurudia rudia salaam mara nyingi sikuilee inbox sawa tu mungu anakuonaHivi sijui unakuwaga na darubini
Text utajibiwa ,lakin ndo majibu yote ya uwongo.Ivi kumbe uwa wanajibu Ata text.mi sijawai kuanzisha chatin na mtu social netwok