Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Mmh nahisi umechanganya madesapoa tu shunie yani unajua kabisa ndo naanza kujifunza kutongoza af unanitosa et kwa kurudia rudia salaam mara nyingi sikuilee inbox sawa tu mungu anakuona
Mfano mimi Aseme Nani nimemfuata PM,,Maana najiamin na Lisura langu Bayaaa,,Mzuri Pesa King Crazy GKWavulana ndo huja PM Wanaume hawahangaiki kama ipo ipo tu classic and gentleman
Ha ha ha!Na humu jf wa hivo wamejaa kwakweli page 2 za pm ni salamu hizo salamu heri mkazitume redioni
ni ww huyu huyu sikuhizi ndioo umenichuniaa kabisa wkt unajuaa kabisaa mdomoo wang una meng ya kusema lkn umejaa mate....Mmh nahisi umechanganya madesa
Mzima
Ngoja nitajarib uko facebukuTesti zari mkuu, mbona wanajibu?
Money Mwanamke gan asiependa Luxury ebooo nawaambia hiv Pesa tuuTatzo hamna hela. Mi nilishawaambia vijana humu...hawataki kuelewa. Mwanamke hatongozwi jamani, mwanamke anavutwa. Ana vutwa na nn ?? (Jibu unalo) Tehe [emoji23][emoji23]
Ww muache ajishaue....na wewe ringia hela zako cz u can get any woman, any time, anywhere. Gademit !!!
Hahaha Nyie akina CC. venossah irk shunie Mmesikia?Angalia tofauti ya majibu haya:
Mkaka: Mamboz
Mdada: P
HII NI DALILI MBAYA KWAKO MKAKA
Mkaka: Mamboz
Mdada: Pouwa, mzima wewe?
EHEEE HII NI DALILI SWAFIII KABISAA.
Haijalishi hata kama huko mbeleni utajibiwa no chance, ila hutapanic. Ila hawa wa P hawa, ni kuwaombea njaa tu.
mzima hofu kwakoMzima
Na wew utanidanganya nkianzisha konvoText utajibiwa ,lakin ndo majibu yote ya uwongo.