Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Yaani ikinitokeaga ivyo huwaga ni mwepesi wa kufutaga namba na siku akinitafuta natukana matusi yote nayoyajua
Hahaha, hivi kuna matusi mapya?
 
Huyu jamaa hata kuvunga kumwambia "hivi nilishakuambia nakupenda kweli?" hii ingenogesha story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…