Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaunga mkono wadada maswali mengine ni wastage of timeHili swali utadhani wanaigiliziana,
Am good sweetheart, n u?Hi
Mambo zako
Uko powa teh teh
Mi nashangaa hata ka pm kakudanganyia sipati kumbe wengine wanapata salamu 100 kwa siku!! Kumbe humu kuna upendeleo!!!🙂🙂🙂😉😉😉
Tafuta avatar na jina fulani amazing uone kama hatujapanga foleni kuja kusalimia.Mi nashangaa hata ka pm kakudanganyia sipati kumbe wengine wanapata salamu 100 kwa siku!! Kumbe humu kuna upendeleo!!!
Sasa hebu nichaguliepo kajina ka kiingereza then nikagoogle wanyarwanda.Tafuta avatar na jina fulani amazing uone kama hatujapanga foleni kuja kusalimia.
mambo?umepatia best!!!! uoga mpaka kwenye kuchati!!!!!
SexyAtoto.....CuteAtoto...yaani ji-sexishe.....🙂🙂🙂Sasa hebu nichaguliepo kajina ka kiingereza then nikagoogle wanyarwanda.
I'm good momma, nilikuwa najaribu kukusalimia kama pm za salamu mia mia hahahaAm good sweetheart, n u?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi kuna mtu nilimuambia aunganishe sms hizo za maswali nijibu kwa pamoja
Nilichoka ujuee,saa ingine unadhani sms ya MPESA kumbee unauliza uko poa,upo shwari,za weekend vipi ,upo wapi,unafnya nini khaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]