Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Wanaboa sana hawa watu, yaani cjui wakoje, sasa hv nimemblock mtu, jifunzeni kujieleza bhana, ukisema usimjibu unyamaze atakusalimia hata miaka 2 hachoki halafu kila siku
Salamu haitii mimba
 
Ukiwapa ushirikiano tu imekula kwako. Na wakiuliza uko wapi ukiwatajia maeneo ya kijijini wanaingia mitini... Hahahaaa watu bana
 
Ukiwapa ushirikiano tu imekula kwako. Na wakiuliza uko wapi ukiwatajia maeneo ya kijijini wanaingia mitini... Hahahaaa watu bana
Kwahiyo ndomana unasema unakaa Sumbawanga?
 
Yaani ikinitokeaga ivyo huwaga ni mwepesi wa kufutaga namba na siku akinitafuta natukana matusi yote nayoyajua
 
Back
Top Bottom