Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Missing in Action
We were soldiers
Rambo 1-4
Home alone
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Daaah!!! Yaan tatizo 2000s ndio tumepata tv so za zamani sana tulikuwa tuna ski liza redio one tuu
Kina marehem Moses justine na kina Charls Hillary

Umeangalia movie ina itwa Titanic!?
bax ndo mana afu hyo titanic mkiangalia double inanogaje [emoji6] [emoji6] [emoji6]afu msome mkuu hpo chini umepitwa na vingi jmn!!
ila tuliozaliwa 80's tumeinjoy sna movie hzo sema kizungu ndo kilikuwa hakipandi enz hzo sema blaza lufufu alitupa sna kampani
 
bax ndo mana afu hyo titanic mkiangalia double inanogaje [emoji6] [emoji6] [emoji6]afu msome mkuu hpo chini umepitwa na vingi jmn!!
Candy inabid siku uje tuangalie Titanic

Ila nilisikitika sana jack alivo kufa, that was un neccessary
 
Sakura killers
Enter the dragon
Police story part 1 to 3
In the line of duty
Tigger cage
Khon bhahar maang
Trideev. maarufu kama oye oye
Lucky seven
Young dragon kung-fu kids
The master
The bodyguard from beijing
born to fight
 
Candy inabid siku uje tuangalie Titanic

Ila nilisikitika sana jack alivo kufa, that was un neccessary
Itanogoje my,Ikianza wte ni tabasamu tu yale mahaba mubashara,yakianza mapichapicha wte [emoji24] [emoji24] pale ndo pakuchukulia point mnapozana [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah Jack iliniuma roho kma kweli!!!!
 
Eastern Condos
Bodyguard from Beijing
Stranger from Canton
Invisible Armor
Ninja Hunter
Call me a Dragon
Saibog
Claws of steel
Snakes of monkey shadow
Drunken master
 
iko move moja, gari la wafungwa kutoka maximum security prison- linakwama mlimani wafungwa wamefungwa minyororo wawili wawili, mnyororo uabanwa na tairi mfungwa mmoja anakatwa mkono na askari, mfungwa mwingine anatoroka, man hunt inaaza. Askari magereza akiwa na mbwa anafauaru kumpata, mfungwa anajitetea anamzidi nguvu askari, wakati askari anakufa anatoa amri kwa mbwa amuue huyo mfungwa. kuanzia hapo hadi mwisho ni sarakasi za mbwa na mfungwa, kweli mbwa alimsumbua mfungwa huyo.
nimesahau jina la move hiyo, anayefahamu tafadhali nikumbushe.
 
Nimesha nyoosha mikono juu kama mateka nimechakazwa vbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I was worried sana labda ume mind asee. Sema nakuaminia

But its cool we'al know people around town, there are plenty we can win 'em.
Vita haija isha imesimamishwa kwa muda tu hiyo kaka
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] I cant wait dat day!! poa tutakaribisha na mond,mtu tatu ndani ya track moja,ntakutag dont worry!!lala unono[emoji42] [emoji42]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan unajuaga kuharibu mipango ee?, Sasa mondi wa nini hapo?, u seem to love 3 some sana, ndio tatizo.

Mondy ataangalia na J, [emoji41]
Halafu unanifanya nisile msosi hapa
Gud nyt[emoji257]
 
Ok ok ok ntakupgia ntakupgia[emoji1] [emoji1]!! anaweza kula kwa macho kwani kuna shida, afu ule ulale baadae ntakwambia im sorry!usireply [emoji4] [emoji4] [emoji42] [emoji42]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I was worried sana labda ume mind asee. Sema nakuaminia

But its cool we'al know people around town, there are plenty we can win 'em.
Vita haija isha imesimamishwa kwa muda tu hiyo kaka
Don't worry bro, kuna vitu vya kumind lakini sio hivyo... Nimesha surrender mkuu kweli ile ni heavy weight
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan unajuaga kuharibu mipango ee?, Sasa mondi wa nini hapo?, u seem to love 3 some sana, ndio tatizo.

Mondy ataangalia na J, [emoji41]
Halafu unanifanya nisile msosi hapa
Gud nyt[emoji257]
Mkuu Mbona unaniharibia mipango acha hivyo bwana
 
ROBO WAR: reb brown hii move nayo ibamba

Hlafu kiingilio sh 50,na hata siti zijane unauangalia mkanda mpaka unaisha umesimama.
 
1.Saviour
2. Not without my daughter
3. Stoning of Soraya
4. Deadly intention
5. Wrong Turn
6. Rush Hour
7. Sister Act
8. Sometimes in April
9. Hotel Rwanda
10. Captain Phillips
11. A fish called Wanda
12. Idd Amin: Rise and Fall
13. Sarafina
14. A.W.O.L
15. War Bus
16. Mr. Nice Guy
17. Home Alone
18. Deadly Prey.
19. Basic insticts
20. Animal insticts
21. Pretty Woman
22. Indecent proposal
23. Bodyguard.
24. Bodyguard from Beijing
25. Rise and Fall of Daudi Bashite Kolomije.

Hizi movie kama hujawahi kuziona basi bado unakojoa kitandani.

Cc Bonny
Raimundo
Numbisa
geniveros
Honey Faith
Heaven Sent
Heaven on Earth
espy
emmyta
Valentina
 
Hio 25 sijaiona
 
Hilo la namba 25 nalitafuta sanaa aisee maana nasikia stering anakufa kwenye majani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…