Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Na wewe hupendi kulala fofofo??Sasa hapo si ndio ntalala fofofo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe hupendi kulala fofofo??Sasa hapo si ndio ntalala fofofo kabisa
Na kwenye hiyo tasnia nakukubali ... mtoto kiuno utadhani nailoni.
Hahahaha ngoja nisikuulize maana nimeshaelewa yaliyojiri...Ha ha ha, kuna kitu cha King of the Kick Boxers, noma nilikuwa namwomba Mungu anipe hata nguvu za jambazi tu, maana nilikuwa naona kuwa star ni ngumu.
Kuna teke flan la kuzunguka kwenye hiyo movie nililifanyia mazoezi nikaangukia mkono, sitaki kukumbuka ile kitu mzee.
![]()
![]()
Ndio ipo treiler sasa hv ndio inatoka official
Ntaacha maneno niweke muziki...Hahaa una maneno wewe
Acha utani inaonyesha hujaangalia Wrong turn dead wwAah wewe hb huyo atayashinda tu majaribu,stering akiuwawa deki mbovu
Hahahaa! Bora ungepasuka huo msambaHahahaha ngoja nisikuulize maana nimeshaelewa yaliyojiri...
Mimi kuna wakati Van Damme alitaka kusababisha nipasuke msamba... sitaki maswali
Huoni ungekosa vingi???Hahahaa! Bora ungepasuka huo msamba
Acha utani inaonyesha hujaangalia Wrong turn dead ww
Saa nyingine anayabadilisha kabisa hadi maandishiAnajua kupindisha maneno huyo
Naoina threesome ikija upande wetu... ee shetani twakuomba utusaidie
Ntaacha maneno niweke muziki...
Akaa! Huyo shetani akusaidie peke yako.Naoina threesome ikija upande wetu... ee shetani twakuomba utusaidie
Naona umeifurahia... ngoja nifanye mazoezi. Sitaki kuwaangusha kama Bashite wa kolomijeHahahaa wewe