Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Bora nikose usingizi ndio bora zaidiHuoni ungekosa vingi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora nikose usingizi ndio bora zaidiHuoni ungekosa vingi???
Unaogopa mto, kifua au matendo?Bora nikose usingizi ndio bora zaidi
Sometimes namuaminia kondoakta sometimes naona anapuyanga.. Hebu tumuache makonda na madereva wake maana siasa kwangu hazipiti kooniAaah watevaa jiji la makonderrrr(kila nikikumbuka haka kamsemo nacheka halafu waliokuwa wanamsifia na kukataja ndio hao wamemkimbia hadi chamani)
Naona umeifurahia... ngoja nifanye mazoezi. Sitaki kuwaangusha kama Bashite wa kolomije
Hebu nipishe we mzee nisije nikakupiga kikumbo ukaanguka mana hata nguvu zenyewe hunaUnaogopa mto, kifua au matendo?
Ha ha ha ha unajitoa ufahamuZipi?
Hahahaa! Noma sana aiseeHa ha ha ha unajitoa ufahamu
Hiyo ndo shida yako. Umebakia na maneno tu, vitendo hutaki. Khaaa!Hebu nipishe we mzee nisije nikakupiga kikumbo ukaanguka mana hata nguvu zenyewe huna
Woga wako ndo hasara yako... punguza wasiwasi... uko peke yako.Aisee ngoja nikimbie
Woga wako ndo hasara yako... punguza wasiwasi... uko peke yako.
Aliyekimbia ni wewe... si mimi. Mi ntabanana hapahapa mpaka kieleweke. Mi ni king'ang'anizi kama kupe... kwa msemo wa kisasa tunasema kubashitika darisalama...Aiseee kidonge cha asprin saa nyingine kinatumika badala ya panado. Wasalimie bana huko uendako
Aliyekimbia ni wewe... si mimi. Mi ntabanana hapahapa mpaka kieleweke. Mi ni king'ang'anizi kama kupe... kwa msemo wa kisasa tunasema kubashitika darisalama...
Ni kweli, Ilikua inaitwa Striker. Kwenye kava frank zagarino katokea ananing'inia kwenye kamba huku kashika mjegejohii movie ya frenk zagarino
TeeeeWoga wako ndo hasara yako... punguza wasiwasi... uko peke yako.
Napendaga sana kicheko chako. Ni vile hujuagi tuHuhuhuuu asalaleeee
Hapo kwa kifupi kabisa ni kuwa umecheka... si ndio?Teeee
Marc Dacascos nilimkubali kwenye Drive, anapiga mkono balaa, mpaka tulikua tunasema kasoma chuo kimoja na jet liFrank zagarino,michael dudukof .......michael dagascos sijui nimewapatia