Kwani dhambiHapo kwa kifupi kabisa ni kuwa umecheka... si ndio?
Ya mautiKwani dhambi
MmhhhYa mauti
Aiseee nilijua ni mm tu ndio hua nasema hivyo rufufu katudanganya sana RIP eti aliacha chuo jetli akaendelea mara chuma nchoko (VICENT ZHAO) Kafundishwa na jetli hahaaa.Marc Dacascos nilimkubali kwenye Drive, anapiga mkono balaa, mpaka tulikua tunasema kasoma chuo kimoja na jet li
Huo mguno umenihamasisha. Ngoja nikaangalie movie inaitwa Black Emmanuelle...Mmhhh
Ila Rufufu akituzibua masikio!!!!!Aiseee nilijua ni mm tu ndio hua nasema hivyo rufufu katudanganya sana RIP eti aliacha chuo jetli akaendelea mara chuma nchoko (VICENT ZHAO) Kafundishwa na jetli hahaaa.
Driver sisi tulikua tunaiita Tobby na Mariki
Mm nilimshitukia zaman bahat yake kingereza sikifaham vzr now nipo na dj mackIla Rufufu akituzibua masikio!!!!!
Hahahahaa[emoji28] [emoji28][emoji23]Aiseee nilijua ni mm tu ndio hua nasema hivyo rufufu katudanganya sana RIP eti aliacha chuo jetli akaendelea mara chuma nchoko (VICENT ZHAO) Kafundishwa na jetli hahaaa.
Driver sisi tulikua tunaiita Tobby na Mariki
Yule yule boya duuuhHahahahaa[emoji28] [emoji28][emoji23]
Mariki nakumbuka alikua ni yule mniga mwenye rasta.
Kubwa la maadui la mule nalo lilikua linapiga mkono, afu lilikua linajazwa nguvu. Kwenye mkono wa mwisho nakumbuka lilibanwa ukutani na pikipikiYule yule boya duuuh
Makoti 4 limevaa likichukia miwani inavunjikaKubwa la maadui la mule nalo lilikua linapiga mkono, afu lilikua linajazwa nguvu. Kwenye mkono wa mwisho nakumbuka lilibanwa ukutani na pikipiki
Hahahahaa, mkuu kweli unakumbukumbu balaaMakoti 4 limevaa likichukia miwani inavunjika
Sifa 1 ambayo niliyonayo nikiona muvi lazima niikariri mwanzo mwisho, sterling na jambaz lazima niwafahamu. Sasa fikiria nina muvi ngap kichwani na majina mangap sometimes nahisi mm ni genius hahaaa taja muvi yoyote nitakuhadithia mwanzo mwishoHahahahaa, mkuu kweli unakumbukumbu balaa
Mkuu unaikumbuka Bridge of dragons ya Dolph na Tagawa?Sifa 1 ambayo niliyonayo nikiona muvi lazima niikariri mwanzo mwisho, sterling na jambaz lazima niwafahamu. Sasa fikiria nina muvi ngap kichwani na majina mangap sometimes nahisi mm ni genius hahaaa taja muvi yoyote nitakuhadithia mwanzo mwisho
Watoto 7
Ile naipata sana mwisho walipigana balabalani karibu na gari lenye mafutaMkuu unaikumbuka Bridge of dragons ya Dolph na Tagawa?