danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,524
Uko vizuri mkuu, nimekubaliIle naipata sana mwisho walipigana balabalani karibu na gari lenye mafuta
Msela kapensiDeadly prey
A. W. O. Lvan damme anatoroka jeshini, embu iweke vizuri ,inaitwaje kwa lugha ya malkia
Leta muvi yoyote mkuu nitakuhadithia yoteUko vizuri mkuu, nimekubali
Dhoom, Irish, Jana rush man ,mohra ,cyborg
Mkuu 2007 kamwendo miaka kumi sio mchezoToa Jumong kwenye list maana sio ya Zamani
Mkuu 2007 kamwendo miaka kumi sio mchezo
Shumileta, saladaini, nsyuka, uwanja wa bhambi., karib Paradise. Dr cheni nkToa Jumong kwenye list maana sio ya Zamani
Nlikua nazikubali sana picha ambazo adui ni huyu mtaalamu Bill Drago. Alikua noma
Kwetu sisi 2007 ni zamani sanaAhahahah ndo mwaka namalizia chuo . Labda kwa wasiojua kuwa ni zamani lakini SAWA
Simpendi huyo kuna muvi flani alicheza na Frank zagarino duuuh ana roho kavu sanaHuyu Jamaa alikuwa ananikosha hata Mie kipindi hicho alikuwa mtata kweli akiwa co staring
Kwetu sisi 2007 ni zamani sana
Simpendi huyo kuna muvi flani alicheza na Frank zagarino duuuh ana roho kavu sana
NdioSasa hiyo roho KAVU NDO imempa umaarufu na sifa mpaka ukamfahamu [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaMkuu Mbona unaniharibia mipango acha hivyo bwana