Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

kuch kuch hota hai
mohabbat
dhoom
pyaar impossible
najna
najin
krishna
My name is Khan
kal ho naho
Devdas
om shant om
koyla na nyingine nyingi za Kihindi
 
Zilikua zinaniacha hoi sana zile movie ambazo steringi akinywa pombe anapiga mkono balaa, na staili zake za kulewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Au zile ambazo steringi anapigwa wee, ila akishaanza kuwaza tu na kumkumbuka master ake akiinuka hapo ni balaa[emoji28] [emoji28] [emoji23]
 
137d5dd5f0414fe42918b1f802275d31.jpg

Nlikua nazikubali sana picha ambazo adui ni huyu mtaalamu Bill Drago. Alikua noma

Huyu Jamaa alikuwa ananikosha hata Mie kipindi hicho alikuwa mtata kweli akiwa co staring
 
Simpendi huyo kuna muvi flani alicheza na Frank zagarino duuuh ana roho kavu sana

Sasa hiyo roho KAVU NDO imempa umaarufu na sifa mpaka ukamfahamu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom