Balaa santamigo pandamunion daaah sijui kuna picha ambayo sijaionavan dame la msalaban..(cyborg)....van dame milasta(hard target)..dame anatoroka jeshini(P.O.W)...na kitu cha DUSK DOWN(from the dusk til down a.k.a santamigo pandamunionon
dada majunun sana yuleBalaa santamigo pandamunion daaah sijui kuna picha ambayo sijaiona
Daaah niliipenda sana hasa pale kwenye msalaba wa bundukidada majunun sana yule
mi nilipapenda pale anatoka anaenda kumnywesha bia yule mshikaji aliyetoboka mkono ana miwani....anamnywesha bia kwa kuimiminia kwenye mguu wake afu kuna soudrack linapiga la kibabe kinoma.....ipo na series yake mkuu inaitwa FROM THE DUSK TILL THE DOWN seriesDaaah niliipenda sana hasa pale kwenye msalaba wa bunduki
VideoorderJaman naomben sehem nzur ya kudownload movies plz
Kumbe tunatumia kilevi kimoja mkuu ngoja niitafutemi nilipapenda pale anatoka anaenda kumnywesha bia yule mshikaji aliyetoboka mkono ana miwani....anamnywesha bia kwa kuimiminia kwenye mguu wake afu kuna soudrack linapiga la kibabe kinoma.....ipo na series yake mkuu inaitwa FROM THE DUSK TILL THE DOWN series
The good, the bad and the ugly.(1966)
hii movie ya frenk zagarinokuna muvi moja nimeisahau jina ila ni zamani sana..
ni ya kijesh flan jamaa (mjeda) na mke wake walitekwa,ndugu yake mmoja ambaye nae mjeda akachukua kikosi na kwenda huko kambi ya majambazi ipo beach hiv kumuokoa kaka yake
moja ya matukio ninayo kumbuka
1.mjeda anafika katika geti la kuingia kambi ya maadui bila mlinzi kumuona.akiwa pembeni kidogo ya dirisha la kibanda cha mlinzi anatoa sarafu anzidondosha chini ,mlinzi kwa kiwewe akajua amedondosha pesa zake akatoa kichwa pale dirishani achungulie nje kule ulipotokea mlio sa sarafu.....alikula bonge moja la ngumiiiii...
2.afu nyingine aliteka godoro ukutani aklifunika shuka afu kwa chini akaweka viatu vyake(ikawa inaonekana kama kuna mtu amejificha ndani ya shuka hivi) jambazi kajipendekeza na kisu chake eti kwenda kulichoma lile godolo,kumbe mjeda yupo nyuma yake mlangoni....akammaliza pale palepale then akamkalia maiti na kuvaa viatu vyake akasepa....inaitwa je vileeeeee?????????
new jack city umenikumbusha mbali sana kipindi icho miaka ya 1994 ndo imetoka mm niliiona miaka ya 1996 dah kitambo sana mzee wakina chris rock wesney snipes dah kitambo....Jason's Lyric
Juice
New Jack City
Life
Coming to America
Set it Off
My Cousin Vinny
12 Angry Men
Mocking Bird
Philadelphia
Hii kitu ni bonge moja la chuma asee!!Eastern Condors
Haaa komando kipensi, long time agoDeadly prey
Huyu Jamaa wa Taekwondo bwana (Lou/liu/low) alikuwa anapenda mno hizi mambo, Miaka ya 1980's movie nyingi zilikuwa zinafichacha haya mambo ila yeye aliweka wazi kabisa.Alikua harembeshi yy anasex kabisa rufufu akawa anavitoa vipande
HahahahahahababVan Dame Marasta...
Van Dame Msalabani...
Alex na Van Dame
Madogo mawili
Madogo matatu
Madogo Saba
Palanawee
Nyamaume by Lufufu
Kasamende by Lufufu
Yes Mkuu,Hii kitu ni bonge moja la chuma asee!!
Huwa namuelewa sana yule dogo ambae alikuwa na pikipiki hivi lina maputo meeengiii pamoja,na big anayeonekana hapo kwenye attachement yako hapo asee na bila kumsahau general wa nchi walokuwa wamekwenda,yule dingi alikuwa anapiga mkono aseee,hahah!!!
Itabidi nikaifukue kwenye chimbo langu siku niitizame tena mkuu.
FILAMU ZIMEPOTEZA MVUTO AU WATU NDO WAMEELIMIKA BAADA YA UONGO KUKITHIRI KWENYE FILAMU?Nakumbuka Miaka ya 99' kuelekea 2000 nilipata kuingia katika kanisa flani(jina kapuni) aisee waaumini karibia wote walitoa machozi mazito mazito-Filamu ya Yesu kristo.
Lakini saizi utawapata watu wachache watakao mwaga machozi.