kuna muvi moja nimeisahau jina ila ni zamani sana..
ni ya kijesh flan jamaa (mjeda) na mke wake walitekwa,ndugu yake mmoja ambaye nae mjeda akachukua kikosi na kwenda huko kambi ya majambazi ipo beach hiv kumuokoa kaka yake
moja ya matukio ninayo kumbuka
1.mjeda anafika katika geti la kuingia kambi ya maadui bila mlinzi kumuona.akiwa pembeni kidogo ya dirisha la kibanda cha mlinzi anatoa sarafu anzidondosha chini ,mlinzi kwa kiwewe akajua amedondosha pesa zake akatoa kichwa pale dirishani achungulie nje kule ulipotokea mlio sa sarafu.....alikula bonge moja la ngumiiiii...
2.afu nyingine aliteka godoro ukutani aklifunika shuka afu kwa chini akaweka viatu vyake(ikawa inaonekana kama kuna mtu amejificha ndani ya shuka hivi) jambazi kajipendekeza na kisu chake eti kwenda kulichoma lile godolo,kumbe mjeda yupo nyuma yake mlangoni....akammaliza pale palepale then akamkalia maiti na kuvaa viatu vyake akasepa....inaitwa je vileeeeee?????????