Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Sio waitaliano wengi wa Australia eg crixus na Spartacus.. Naipenda kiukweli hainichoshi mtu unarambishwa panga duuuhMmh we kidume kweli mi zile movie niliangaliga kimachale sana cio kwa unyama ule,ila vdume vimeshiba cio mchezo nilickia ni waitaliano cjui kma ni kweli!!