Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Mmh we kidume kweli mi zile movie niliangaliga kimachale sana cio kwa unyama ule,ila vdume vimeshiba cio mchezo nilickia ni waitaliano cjui kma ni kweli!!
Sio waitaliano wengi wa Australia eg crixus na Spartacus.. Naipenda kiukweli hainichoshi mtu unarambishwa panga duuuh
 
Sio waitaliano wengi wa Australia eg crixus na Spartacus.. Naipenda kiukweli hainichoshi mtu unarambishwa panga duuuh
Axnte my,hapana mond mi hzo movie siwez angalia tena chaa, yaani unashuhudia vile kichwa kinarusha damu kma kuku [emoji24] [emoji24]!!nimekupata hpo kwa mr bone chiz wa africa [emoji4] [emoji4]
 
Axnte my,hapana mond mi hzo movie siwez angalia tena chaa, yaani unashuhudia vile kichwa kinarusha damu kma kuku [emoji24] [emoji24]!!nimekupata hpo kwa mr bone chiz wa africa [emoji4] [emoji4]
Hahaaaa unaogopa editing duu huwez angali wrong turn au hostel
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I love to lough too

Sun city, umenikumbusha mbali sana, "Kigwaragwara" hahaha
Bonge ya movie
[emoji6] [emoji6] c umeona mond kanisaidia zingne cjawahi ziona ntka nikazitafute nipunguze stress!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I love to lough too

Sun city, umenikumbusha mbali sana, "Kigwaragwara" hahaha
Bonge ya movie
Unakumbuka hii.
My prnceeeeeeeeeee
Ngosi tusei makosiii
Hakuna scene iliyoniacha hoi kama ile anajisaidia barazan duu
Long live Leon Schuster
 
iyo movie ya 22 sisi tulikuwa tunaiita anodi ya jeni, alafu mkuu umesahau... baby day out na anaconda
 
Unakumbuka hii.
My prnceeeeeeeeeee
Ngosi tusei makosiii
Hakuna scene iliyoniacha hoi kama ile anajisaidia barazan duu
Long live Leon Schuster
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ucnikumbushe libonge limevimbiwa ile likashushe mzgo kumbe kuna pipo zimelala mwee, hzi movie hazichoshi!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ucnikumbushe libonge limevimbiwa ile likashushe mzgo kumbe kuna pipo zimelala mwee, hzi movie hazichoshi!!!
Napenda sana eti hakuna matataaaaaa duu hebu icheki mad buddies ufurahi
 
Na hizi je za Chalie Chaplin
  1. The kid
  2. The sarcus
  3. Trup
  4. Dictator
  5. Etc
 
Unakumbuka hii.
My prnceeeeeeeeeee
Ngosi tusei makosiii
Hakuna scene iliyoniacha hoi kama ile anajisaidia barazan duu
Long live Leon Schuster
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jamaa aliigiza fresh sanaa yaan
 
Back
Top Bottom