Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

1, 2, 3 (zote), 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 12, 13, 15, 16, 17, 19, 20, 21, 22 (terminator zote), 23, 24, 25, 26 (zote), 28, 29, 30
Nimeangalia hizo mkuu
 
Mkanda wa Yesu

√√Daaa..! huu mkanda yani nililia nilivyoangalia sijui Ina nn hii sinema, wakati huwa naangaliaaga movie zenye huzuni lakin silii
Kuna rafiki yangu alikalili maongezi yote kwenye huu mkanda
 
desperado
once upon a time in Mexico
who am i?
the good the bard and the worst
it happened one night
all Charlie Chaplin
 
KAMA HUKUWAI KUANGALIA HIZI MOVIE Tia mgomo uzaliwe upya.
1: TITANIC. 2: KING KONG 3: ANACONDA. 4: JUMONG. 5: AMERICAN NINJA 6: DELTA FORCE 7: TARZAN. 8: DOUBLE IMPACT. 9: TERMINATOR 10: AIR FORCE 11: KICK BOXER. 12: COBRA. 13: GOD MUST BE CRAZY. 14: ABOVE THE LAW 15: APOCALYPTO. 16: SPARTACUS 17: MKANDA WA YESU. 18: SOLDIER BOYS 19: TAI CHII. 20: SARAFINA. 21: CINDERELLA 22: JANEE by anord. 23: KUCHI KUCHI. 24: LUCKY 7. 25: COMMANDO KIPENSI. 26: FAST & FURIOUS 27: DRAGON. 28: SHUMILETA. 29: NSYUKA. 30: AKI NA UKWA [emoji3][emoji3]

Endelezea

Listing poa ila umechakachua baadhi ya majina ya movie.
Mfano commando umeiita janee.
Pia Cinderella zipo version nyingi sana.
 
The Hard way

Deadly Prey

Andha Kanoon

Disco Dancer

Hatya

Solo

Striker ya Frank Zagarino

Van Dame anatoroka Jeshini

Watoto 7

Warbus

Jumanji

Delta Force
BACK TO THE FUTURE - MICHAEL J. FOX PART 1 , 2 , AND 3............ VERY NICE MOVIE
 
Alexander Lou movie zake ilikuwa lazima ukute vionjo vya mambo yetu yaleee!
99% movie zake lazima atie kachumbali,Kuna kipindi zile sehemu wamiliki wa kumbi za sinema wakawa wanazikata/wanaondoa vile vipande.

Ile Jamaa alikuwa vyema sana,hawa akina Jet Lee na Jack Chan wajuzi juzi tu!
 
Hatari, by John Wayne. Hii movie ilitengenezwa 1950s kama sijakosea na shooting yake ilifanyika Arusha.
 
van dame la msalaban..(cyborg)....van dame milasta(hard target)..dame anatoroka jeshini(P.O.W)...na kitu cha DUSK DOWN(from the dusk til down a.k.a santamigo pandamunionon
 
99% movie zake lazima atie kachumbali,Kuna kipindi zile sehemu wamiliki wa kumbi za sinema wakawa wanazikata/wanaondoa vile vipande.

Ile Jamaa alikuwa vyema sana,hawa akina Jet Lee na Jack Chan wajuzi juzi tu!
Alikua harembeshi yy anasex kabisa rufufu akawa anavitoa vipande
 
Back
Top Bottom