Yule ambae akitekenywa anakua mnene ama ?
Lazima uwepo apo kinamna yoyote ata kama auna cheo serikalini basi kwenye familia kama nako auna basi wewe ni iron lazima utakua unaitwa mno kwenye matukio ya ugomvi ugomviNaomba nimkosoe huyo Plato... Sasa Kama yapo matabaka matatu sie ambao hatupo ktk hayo matabaka tupo ktk tabaka la gani? Au stones(diamonds, tanzanite)?
Naomba ufafanuzi..