kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,646
- 9,623
Wekenj
Wekeni na pichaKoala
Wekeni na pichaKoala
Kabisa mkuu asante but sometimes imagination makes us happy and more creativeNi wazo lakini.......
Ukishindwa kujitambua wewe ni nani dunia itakupa maana tofauti na wewe ulivyo.
Nilijiona mpumbavu lakini kumbe kuna kitu kikubwa ambacho ukikitumia kitasaidia na kuokoa maisha ya wengi na kila mtu anacho hicho kitu
Kujilinganisha na mnyama ni kuidhalilisha thamani yako
Shida Xmass au Iddi ikifika unachinjwaJogoo, kila tetea napandaa
Nyau kwenye nyumba ya tajiri.Habari,
Tuende kwenye mada jumla jumla.
Binafsi kwakua nimechoka kuona unyanyasaji unao endelea bayana ya binadamu us if kuna binadamu wachache wanao tuona sisi kama wanyama (yani wanatutawala kama vile wanavyo tawala vikuku vyao bandani)
Kulingana na wasomi wakwanza tokea duniani ikiwamo akina plato ambao walisema binadamu wako katika aina kuu 3:
1. Gold (bright people)
2. Silver (watawala)
3. Iron (police. Wanajeshi.nk)
Apaa kila mtu anatakiwa ajiangalie mno kwa kujua yeye yupo wapi kama auko 1 au 2 au 3 basi awa ni wafu kulingana na plato yani non living
Sasa kumbe kuna watunga sheria. Kuna wanao chambua sheria na kuna wanao hakikisha sheria inafwatwa.
Nature always win.
Yani hata porini simba sio mkubwa sana kuliko tembo au tiger bali anaitwa mfalme wa pori ni kwa nini?
Kwa sababu ya attitudes ya Simba.
Basi kama mimi ningepewa chance yakuchagua nizaliwe kiumbe gani duniani mbali na mwanadau basi better be simba maana its my level.
Maana i depend some in other like muuza duka yani nafungua duka nauza goods for other.
Siwezi kua fisi au silver ili kula kile kilicho kibudu maana nina taya ngumu kumumunya mifupa
Au iron kulazimisha watu kula vibudu
Basi its better to be simba maana nitaishi kulingana na ninavyo taka
And please kama aupendi wanyama dont give a damn shit about them.
Mbwa dume kwenye nyumba ya tajiri wa kike mzungu. Hata bosi wangu nampanda bila noma kwa kunitongoza mwenyewe. Msosi wake usipime!Habari,
Tuende kwenye mada jumla jumla.
Binafsi kwakua nimechoka kuona unyanyasaji unao endelea bayana ya binadamu us if kuna binadamu wachache wanao tuona sisi kama wanyama (yani wanatutawala kama vile wanavyo tawala vikuku vyao bandani)
Kulingana na wasomi wakwanza tokea duniani ikiwamo akina plato ambao walisema binadamu wako katika aina kuu 3:
1. Gold (bright people)
2. Silver (watawala)
3. Iron (police. Wanajeshi.nk)
Apaa kila mtu anatakiwa ajiangalie mno kwa kujua yeye yupo wapi kama auko 1 au 2 au 3 basi awa ni wafu kulingana na plato yani non living
Sasa kumbe kuna watunga sheria. Kuna wanao chambua sheria na kuna wanao hakikisha sheria inafwatwa.
Nature always win.
Yani hata porini simba sio mkubwa sana kuliko tembo au tiger bali anaitwa mfalme wa pori ni kwa nini?
Kwa sababu ya attitudes ya Simba.
Basi kama mimi ningepewa chance yakuchagua nizaliwe kiumbe gani duniani mbali na mwanadau basi better be simba maana its my level.
Maana i depend some in other like muuza duka yani nafungua duka nauza goods for other.
Siwezi kua fisi au silver ili kula kile kilicho kibudu maana nina taya ngumu kumumunya mifupa
Au iron kulazimisha watu kula vibudu
Basi its better to be simba maana nitaishi kulingana na ninavyo taka
And please kama aupendi wanyama dont give a damn shit about them.
Shida Xmass au Iddi ikifika unachinjwa
KiasiMvivu unaonekana
Natafakari jina la mnyama.Kwa nn tena
Honey burgerNyegere