Kama hukuzaliwa mwanaume au mwanamke ungependa uzaliwe kiumbe gani?

Kabisa mkuu asante but sometimes imagination makes us happy and more creative
 
Ningependa niwe wale bacteria wanaokaa kwenye K wakilinda dhidi ya bakteria wabaya
 
Nyau kwenye nyumba ya tajiri.
 
Mbwa dume kwenye nyumba ya tajiri wa kike mzungu. Hata bosi wangu nampanda bila noma kwa kunitongoza mwenyewe. Msosi wake usipime!
 
Shida Xmass au Iddi ikifika unachinjwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…