Kama humuelewi Mikel Arteta hujui fooball

Acheni kuleta habari za documentary hapa, modern football imebadilika sana siku hizi na ili uende nayo sawa inabidi uwekeze kwenye vitu viwili
1.Good players with high profile
2.Good manager with high technical skills

Ukisema ujenge kikosi ili ukitumie miaka 3 mbele, huo ni uongo utakaa miaka 30 ili ubebe kombe kama kilichowakuta liverkuku na wakaachana na mediocre players and coaches
Kivipi mkuu,Mbona De bruyne na Raheem wapo na Pep kwa miaka sita sasa?

Cha msingi ni quality tu ya mchezaji, Saliba, white na Gabriel wanaweza cheza pamoja hata misimu kumi kwa umri wao.
 
Mkuu hapo ndo linapokuja swala la kuwa na Quality coach with high technical skills

Pep ni bingwa wa kumtengeneza mchezaji kutoka kuwa mediocre player to Quality player, let's look at Raheem akiwa Liverpool, Je ni sawa na huyu aliopo kwa The citizens na jibu ni big No coz ni same player with different quality na hii ni effect of Pep Bro Will jr

Now tuna wachezaji wadogo na wenye vipaji vikubwa sana with bright future ahead Star boy Saka, ESR, White, Gabriel, Saliba, Lokonga, Tavares, Tierney, Tomiyasu bila kumsahau bwana mdogo Charlie Patino "The wonder kid". Je, mikel Arteta ni mikono salama kwa vipaji vya ajabu vilivyopo kwenye Club right now? Na kama ni ndio wapo kwenye mikono salama kwake, Je, alishawahi kuthibitisha hilo kabla ya kuja Arsenal?

This Arsenal wonder kid players need a proper coach in order to bring back our achievements
 
Mkuu haya mambo bhana ulitakiwa useme ni kigezo gani kinafanya uone Arteta si mikono salama

what type of football arteta should play to get the best out of this group?

Football ni kuwa na right players na Proper system hata Pep.. he brings out the genius of his players with a system of perfection not otherwise.
 
So, You are with Arteta, Bravo
But how can you be a good coach while u accept to work with mediocre players and Bad team project
 
No problem, that's why he undergoes a massive rebuild, the coach is hired to focus on system that encourages long term success, even if the players are not good.

Look at Graham Potter is a very good coach the likes of Mikel, Nagelsman,Tuchel but he accepted Brighton.
 
Kweli mkuu wewe ni kilaza tu.
Mzee unakuwa kama mwanamke wa bar,pesa ikiwepo unarudi kwa bwana, ikikata unamkimbia(siko serious saana katika hili) [emoji23][emoji13]
akifanya hovyo unauchuna, kafanya vizuri "mbio mbio kwa mganga" kujiimbia wazaramo.

Anyway muda utazungumza, bado naendelea kusimamia ninachokiamini, kumfunga norwich, leeds, southmpton nakadhalika sio big deal, sababu kipindi natoa koment yangu alikuwa tayari kawafunga hao na FA kaishabeba, ishu ni je atairudiaha arsenal kuwa mgombania ubingwa epl hilo ndio jambo ambalo mie naona uwezo huo hana, je ataifanya arsenal iwe inaogopeka, timu ikijua next week ni arsenal wanaanza kufikiria namna ya kupata hata sare au kupunguza magoli,
N.B
mwaka akishinda epl ndio ujibu comment hii, ili kukwepa kujibizana bila mpango.

Katika timu kubwa zoote kachezea kichapo, mwaka akimfunga guardiola pale etihad, akampiga klopp pale anfield unishitue mkuu, achana na man u hii anaweza kuiotea muda wowote, ila nao wakiunga tu hawapati tena ataone vidagaa tu.
 
Arsenal ibebadirika
Yes kadri siku zinasogea arsenal inabadilika, nilichogundua ndoa kati ya arsenal ni ndoa saafi, bosi wa arsenal alikuwa anahitaji kocha asiyehitaji mshahara mkubwa hadhi ya kina el cholo, pili asiye na mahitaji makubwa saana kama kina conte, maana kwa wachezaji wakina xhaka angekuja akatimua woote,
Upande wa arteta ni mtu na idea zake kichwani hivyo arsenal kapata pakujaribia, mpaka sasa naona ana kitu japo hajaniridhisha pakuubwa naendelea kumfatilia, anaelekea kuwa ni aina ya kocha niwapendao, wana mbinu, akili nyingi.

Leo bila ya ujinga wa xhaka na gabriel man city alikuwa analufa kibudu, kuna muda ball possession ilikuwa 75 kwa arsenal na 25 kwa city.
 
[/QUOTE

Tupe Comment zaidi
 
Jamaa kasoma page moja tu ya kitabu cha Guardiola angesoma chote ingekuwaje.
 
Back
Top Bottom