Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
Kivipi mkuu,Mbona De bruyne na Raheem wapo na Pep kwa miaka sita sasa?Acheni kuleta habari za documentary hapa, modern football imebadilika sana siku hizi na ili uende nayo sawa inabidi uwekeze kwenye vitu viwili
1.Good players with high profile
2.Good manager with high technical skills
Ukisema ujenge kikosi ili ukitumie miaka 3 mbele, huo ni uongo utakaa miaka 30 ili ubebe kombe kama kilichowakuta liverkuku na wakaachana na mediocre players and coaches
Cha msingi ni quality tu ya mchezaji, Saliba, white na Gabriel wanaweza cheza pamoja hata misimu kumi kwa umri wao.