Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu.
Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo" Kama huna D mbili huwezi kuelewa"
Vitoto vya sekondari watadhani D mbili ndio kufaulu. Kwa uhalisia D mbili unapewa cheti cha kidato cha 4 ili kutambua ushiriki wako.
Huu msemo unatred sana kwasababu huko mitandaoni kumejaa vilaza. Waziri wa elimu akemee huu msemo.