"Kama huna D mbili huwezi kuelewa" ni msemo unaowapa amani vilaza, tuukemee utaendelea kuzalisha wajinga wengi

"Kama huna D mbili huwezi kuelewa" ni msemo unaowapa amani vilaza, tuukemee utaendelea kuzalisha wajinga wengi

Bila D 2 ni kweli hauwezi kua chuo kikuu
kwa elimu ya kibongo D 2 ni principal pass unaenda chuo sasa nini mbaya hapo
 
Serious mkuu?
Jiridhishe kwa kuangalia matokeo. Ili form two ahesabike amefeli, anapaswa kuwa na division 0 ambayo ni ama point 34 yaani D somo moja na F masomo yaliyobaki, au 0 ya point 35 ikimaanisha F masomo yote.

Kufaulu kwa form two kwenda siku hizi ni awe na minimum point ya 33 ambayo ni ama awe na D mbili au C moja na mengine yote apate F.

Asante kwa kunisikiliza.
 
Mtu akikwambia kama huna D mbili huwezi ukaelewa it means, watu wenye D mbili vichwa vyao huwaza upumbavu mda wote na wanajua sana kubadili jambo la maana lionekane la kijinga, kwa mfano waziri akisema.. " kadri unavyopanua ndio watu wanazidi kutamani"
Hapo mwenye D mbili atawaza kugegedana while mwenye yuko timamu atajua waziri kamaanisha maendeleo ya kimiundo mbinu, so simple kabisa mwenye D mbili ni mtu wa kugeuza vitu vya maana vionekane vya kijinga
 
Back
Top Bottom