Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Siku hizi mtoto wa form two anapaswa kuwa na D 2 tu ili aendelee form three.Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani ( slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu.
Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo " Kama huna D mbili huwezi kuelewa"
Vitoto vya sekondari watadhani D mbili ndio kufaulu. Kwa uhalisia D mbili unapewa cheti cha kidato cha 4 ili kutambua ushiriki wako .
Huu msemo unatred sana kwasababu huko mitandaoni kumejaa vilaza.
Waziri wa elimu akemee huu msemo.
Ume u cite kinyume hio msemo ni "kama una D mbili huwezi kuelewa"Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani ( slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu.
Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo " Kama huna D mbili huwezi kuelewa"
Vitoto vya sekondari watadhani D mbili ndio kufaulu. Kwa uhalisia D mbili unapewa cheti cha kidato cha 4 ili kutambua ushiriki wako .
Huu msemo unatred sana kwasababu huko mitandaoni kumejaa vilaza.
Waziri wa elimu akemee huu msemo.
Kama ni hivyo wabadili tu na kusema ...(hata ukiwa na D mbili tu unaweza kuelewa) ni sawa na msemo unaosema uhitaji roketi sayansi kufanya jambo fulani...Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani ( slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu.
Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo " Kama huna D mbili huwezi kuelewa"
Vitoto vya sekondari watadhani D mbili ndio kufaulu. Kwa uhalisia D mbili unapewa cheti cha kidato cha 4 ili kutambua ushiriki wako .
Huu msemo unatred sana kwasababu huko mitandaoni kumejaa vilaza.
Waziri wa elimu akemee huu msemo.
Kumbe wamepandisha markssaizi si ni D 4
Mbona hatariSiku hizi mtoto wa form two anapaswa kuwa na D 2 tu ili aendelee form three.
saizi Kama huna D nne huna dili kabisa hata uhouse girl hupatiKumbe wamepandisha marks
D mbili Kuna watu zinawatoa kimaisha kabisa,wengine A ndo zinawatoa nkMiaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani ( slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu.