Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Sehemu yoyote marekani inapofanya uwekezaji kupitia makampuni yake, lazima ije iweke kambi kulinda maslahi yakehiyo kambi umewai fika ndan ukaona hayo madini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu yoyote marekani inapofanya uwekezaji kupitia makampuni yake, lazima ije iweke kambi kulinda maslahi yakehiyo kambi umewai fika ndan ukaona hayo madini ?
Polewewe bado upo usingiz unaamin story za kusadikika na unaacha ukwel
Hata marekani huwa anafanya kwa mataifa dhaifusasa angefanya kwa mabeberu sio taifa changa
Tena ni mjinga na brainwashed wa kiwango cha SGRSikujua kama wewe ni mjinga kiasi hiki
Kama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi.
Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani. Kama unapenda demokrasia duniani, kaa mbali na Urusi. Kama unachukia viongozi Katili, jitenge na Urusi.
Kama siyo tabia yako kupenda wanasiasa wanaopenda rushwa na wanaozuia kukamatwa, iache Urusi ikae mbali na wewe.