4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
phv hamnaga macho na akili kutizama ?Kumbe watu wengi Bado wako usingizi wa kifikra namna hii? Sasa naamini propaganda ina nguvu Sana, Sana Sanaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
phv hamnaga macho na akili kutizama ?Kumbe watu wengi Bado wako usingizi wa kifikra namna hii? Sasa naamini propaganda ina nguvu Sana, Sana Sanaa.
wewe bado upo usingiz unaamin story za kusadikika na unaacha ukwelEndelea na unachokiamini..
unaamini sana story za vijiweni kuliko ukwel , jitathimin stress za maisha zinaeza kuwa sabab pia , post ipo cleab kbs ila huielew kwasabab unaendeshwa na mahaba , warusi wenyew wanakimbilia Marekan au Ulaya magharibi , wewe umekaza shingo na story zako za vijiwenWe mleta mada uelewa wako uko chini sana. Unahitaji elimu ya ana kwa ana sio jf.
Tafuta mtu mtaan akusaidie kidogo geopolitics. Akusaidie tafsiri ya uhuru wa nchi kimipaka na kijeshi. Akusaidie kuhusu super power countries na 3rd world countries.
Muhim jua Tanzania na marekan zote ni nchi lakin si sawa
Hakuna taifa kandamizi kama beberu Marekani 🤔Kama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi.
Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani. Kama unapenda demokrasia duniani, kaa mbali na Urusi. Kama unachukia viongozi Katili, jitenge na Urusi.
Kama siyo tabia yako kupenda wanasiasa wanaopenda rushwa na wanaozuia kukamatwa, iache Urusi ikae mbali na wewe.
Lakin nchi za kiarab zilipiga kura kuruhusu uvamiz huo wa iraq ila Urusi aliombwa ila akadanganya na akavamia , siku akikuvaia utanyosha kauli yakoMimi naangalia sababu, at least iwe ina mashiko, US hakuwa na sababu yoyote ya kuivamia Iraq,
Kama ni swala la vita hata Mungu alimsaidia Yoshua kulisimamisha jua akapigana,
macho yako hayaoni au hujawai toka hapo chitoholi ?Nyie mmekuwa brainwashed mnaamini kila anachosema Us
kwamba ushoga upo hata kabla ya uwepo wa SO CALLED USAHili swali lina mantiki gani?
hajamaanisha hivyo kamaanisha usiponde sana west kana kwamba ushoga ulianzia kwao , wao wamekuwa sincere kuufanya uwe sawa tu kwa wahusika ili wasinyanyapaliwe tofauti na hiz dona country zinajifanya kupinga kumbe wana mashoga yao ya reserveNi sawa na kusema wizi, uuaji ulianza zamani sana,,
hivyo kwa sababu ni matendo yaliyoanza kalne nyingi pamoja na kupingwa yanaendelea, tuache yaendelee,,
ukiona unataka katiba mpya means unajahali haki zako na za wengine , sasa ni kituko kuunga mkono serikali ya Putin isijali katiba ya nchi yao ( haki za watu)Kwa hiyo unataka kutujulisha kuwa wanadai katiba mpya wadai na ushoga,,!? Au unamaanisha kitu gani,,?
Lini Putin aliwahi sema tusiwe na Katiba mpya,,!?
Mie naamini katiba bora ni ile inayotambua na kulinda kila chembe ya maslahi ya Watu wa taifa husika,, JAMBO AMBALO NDILO RUSSIA WANAFANYA,,
Nina mashaka na ufahamu wako au ni miongoni mwa wanufaikaWapi umeona serikali ya Marekani inaeneza ushoga. Yaani Marekani inatoa mashoga New York na kuwaleta mbagala na Gongo la Mboto au inakuwaje??
tumia akili yako vzr hapo jiran na urusi kwann Urusi asiweke za kwake ? urusi haishi vzr na majiran zake ndio maana mairan wanajiungana mahasimu wa urusiHisia hizi marekani ameua wa ngap yaan yeye anataka aweke silaha karibu na nchi ya urusi watu tatizo mkishapenda kitu hamjudge kwa facts.
Hivi Marekani haikandamizi wengine na si kukandamiza lakini pia hadi kuuaKuna mahali nimeuliza kwamba Sodoma na Gomora ushoga ulienezwa na Marekani?? Hoja hapa ni kwamba ili uikubali urusi ni lazima uwe na chembe chembe za kupenda kukandamiza wengine.
mada inahudu Urusi , mnaiwaza sana MarekanKama Huna akili ya kiukandamizani huwezi kuishadadia MAREKANI na NATO yake.
thibitisha sio cha kwelsi umeandika unachokipenda ww hata akili moja huna!! Unapumbazwa na media unadhan hao mabwana zako wanachokiongea kwene tv ndo cha kweli
Huwezi kujua mkuu anaweza kuwa mnufaika maana Marekani wana mbinu nyingi wakijidai kutumia haki za binadamu wakati wao ndiyo wanaongoza kuvunja haki hizounataka tuishadadie marekani hii iliyovamia Iraq na kuuwa maelfu ya watu,, iliyovamia Libya na kuua maelfu ya watu Afghanistan, Vietnam etc. Punguza mahaba ndugu,,, kila uchao kufungulia nyuzi za kuiponda urusi utadhani unalipwa vile!!!
jibu kwa hoja , akili za unyumbun humu hatuzitaka , kila kichwa kiweke mawazo yakeSikutegemea hili swali litoke kwako.
tatizo lenu mnajikaza ubongo kuwa Urusi haishi vzr na majiran badala yake majiran ndo wanamkaribisha USA sio USA kuvamia , JITAHIDIN MUZIFUNGUE AKILI MBOFU HIZOAllen Kilewella je wewe ungekuwa ndio USA ungekubali mrusi ajenge base ya nuclear Cuba? Au Mexico? Tuanzie hapo kwanza!
hiyo kambi umewai fika ndan ukaona hayo madini ?Mfano mmoja mkataba wa gesi, na nasikia wameweka kambi kigamboni baada ya kugundua pande hizo kuna madini adimu sana duniani
taja unachojua weweWew naye akili ndogo hivi unashindwa kujua aisee kazi ipo
mnawatukuza wazungu ndio maaba hata ukijamba unamlaumu mzunguMzunvu hawezi kuja kujenga afrika for nothing