whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Mimi naangalia sababu, at least iwe ina mashiko, US hakuwa na sababu yoyote ya kuivamia Iraq,Huwezi kupinga uvamizi wa US Iraq ila ukaunga mkono uvamizi wa Urusi kwa Ukraine. Matukio yote ni ya uonevu. Hivyo ukimwona mtu aliyebeba kinyongo cha Iraq na huku akifurahia kinachoendelea Ukraine, either ni udini unamsumbua au hana anachosimamia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kama ni swala la vita hata Mungu alimsaidia Yoshua kulisimamisha jua akapigana,