Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Ishakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.

Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.

Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.

Khaaaa!!
Hata kibanda tu sina!
 
Nilikuwa navyo ila nimeuza vyote na kwasasa sina hata vya kukopa.
 
Pesa yako unaishia kuvalia tu? Na kuhonga wadada wa JF [emoji16]


Kuna dadakule kwny grp la whtsap kakusifia kwa kuhonga mkuu eti ww huna mkono wa birika kala sana bata go n return za arusha kwa bombadier
Kumbe jf kuna grp la wsp? Kweli Mimi nipo nyuma sana
 
Back
Top Bottom