Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo mmejimilikisha nyumba na magari ya shemeji zenu?Hii haituhusu tunaokaa kwa shemeji....na gari tunaendesha la shemeji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo mmejimilikisha nyumba na magari ya shemeji zenu?Hii haituhusu tunaokaa kwa shemeji....na gari tunaendesha la shemeji!
Ishia hapohapo. Hivi kwa nini nilipo na wewe unataka kuwepo lakini?Wewe unanifaa! [emoji8]
Niko hapa ninayeishi stoo na kugonga mihuri mchana kutwa...Ishakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.
Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.
Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.
Khaaaa!!
Heee! Kumbe nimeingilia maslahi yako?[emoji134][emoji134] Basi mamy naondoka zangu[emoji119]Ishia hapohapo. Hivi kwa nini nilipo na wewe unataka kuwepo lakini?
Tungejimilikisha tungejiorodhesha kama wamiliki...tunakaa kwa hisani tu[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo mmejimilikisha nyumba na magari ya shemeji zenu?
Hivi taarifa za watu huwa unazipataje?Mzee wa kula watoto wazuri wa JF kimyakimya upo?[emoji16][emoji16][emoji16]
Nina taarifa ya each and everyone ila huwa natulia tu as long as all mods eye on me!![emoji6][emoji6][emoji6]Hivi taarifa za watu huwa unazipataje?
Kazi ipo....Nina taarifa ya each and everyone ila huwa natulia tu as long as all mods eye on me!![emoji6][emoji6][emoji6]
Basi jiorodhesheni hapa maana nanyi hamna nyumba wala gari[emoji23]Tungejimilikisha tungejiorodhesha kama wamiliki...tunakaa kwa hisani tu
Mimi hapa...Basi jiorodhesheni hapa maana nanyi hamna nyumba wala gari[emoji23]
Jamaa ana akili sana,hana mikwara,yeye ni kimyakimya tuuu!!Kazi ipo....
Kumbe ndio zake eeh!?[emoji848]Jamaa ana akili sana,hana mikwara,yeye ni kimyakimya tuuu!!
Duh wewe ndio yule uliesema anahonga sana kwa mujibu wa group lenu la whatsapp?Jamaa ana akili sana,hana mikwara,yeye ni kimyakimya tuuu!!
Rafiki ulishampa tayari?[emoji847][emoji847][emoji847]Kumbe ndio zake eeh!?[emoji848]
Umeshauza ile nyumba na gari lako?[emoji6]Mimi hapa...
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Duh wewe ndio yule uliesema anahonga sana kwa mujibu wa group lenu la whatsapp?
Ila wewe jamaa ni m-mbeya sana....[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
ila mkuu avatar zina mchango mkubwa sana kwenye hayo masuala asikudanganye mtu!!Duh wewe ndio yule uliesema anahonga sana kwa mujibu wa group lenu la whatsapp?
Wewe si umesema anakula watoto wazuri wazuri? Mimi simfai, ndo ponapona yanguRafiki ulishampa tayari?[emoji847][emoji847][emoji847]
Nitoe wapi?Umeshauza ile nyumba na gari lako?[emoji6]