Wanakotoa wengineNitoe wapi?
Mimi sio wengine ni MIMI.Wanakotoa wengine
Hivi kumbe nikiweka avatar yenye chura naweza kukupata kirahisi eeeh![emoji848]ila mkuu avatar zina mchango mkubwa sana kwenye hayo masuala asikudanganye mtu!!
[emoji122][emoji122][emoji122] Hicho ndicho ninachokupendea!Mimi sio wengine ni MIMI.
Hata kibanda tu sina!Ishakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.
Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.
Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.
Khaaaa!!
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Hivi kumbe nikiweka avatar yenye chura naweza kukupata kirahisi eeeh![emoji848]
Kaa mbali kabisaHeee! Kumbe nimeingilia maslahi yako?[emoji134][emoji134] Basi mamy naondoka zangu[emoji119]
Kumbe jf kuna grp la wsp? Kweli Mimi nipo nyuma sanaPesa yako unaishia kuvalia tu? Na kuhonga wadada wa JF [emoji16]
Kuna dadakule kwny grp la whtsap kakusifia kwa kuhonga mkuu eti ww huna mkono wa birika kala sana bata go n return za arusha kwa bombadier