Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes na huu ndio uanaume kuwa real .....mwanamke akikupenda kakupenda haijalishi unalala kwenye sofa au kwenye guniaKwamba tuwe wawazi.. Waamue wenyewe sasa sio?
Oouk nimo
Ndo hao wanawake ambao hawapo humu JF ila mtaani tunaoYes na huu ndio uanaume kuwa real .....mwanamke akikupenda kakupenda haijalishi unalala kwenye sofa au kwenye gunia
Aliye jf makazi yake ni huko huko mtaani humu jukwaani anawakilishwa na simu yake au PCNdo hao wanawake ambao hawapo humu JF ila mtaani tunao
Tunataka siku tukija Fanya uhakiki tuyakute hayo matrekta ili tutoe ushauri na mchango wa mawazo kwenye hiyo sekta ya kilimosina vyote ila ninamiliki trekta za kilimo hapo vipi
Mashauzi yao huku sasa ndo yanafanya na Wadananda waingie location.. Full maigizoAliye jf makazi yake ni huko huko mtaani humu jukwaani anawakilishwa na simu yake au PC
Sio kila linaloandikwa linamaanishwa mda mwingine tunatania tuMashauzi yao huku sasa ndo yanafanya na Wadananda waingie location.. Full maigizo
haahahhaahTunataka siku tukija Fanya uhakiki tuyakute hayo matrekta ili tutoe ushauri na mchango wa mawazo kwenye hiyo sekta ya kilimo
Sio kila linaloandikwa linamaanishwa mda mwingine tunatania tu
Yeah wapo wenye experience zaoLakini mda mwingine ni kweli mnaingia king
Nipo kama konokono
Yeah wapo wenye experience zao