Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Nimecheka tu Word. Sababu nilikuwa nawahesabu wasio na hizo vitu [emoji12][emoji12] sasa kufika kwako nikabaki nacheka na hiyo "Ook nimo".
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh bhana ile yakinyonge nyonge..
 
Nataka tutengeneze grp letu na wewe [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
😂😂😂😢😷😷😷 tulianzishe ijumaa siki ya ufunguzi wa sabato😢😢 nitakuwa nakuja kufungua sabato kwako😊😊 nimetinga dera😊😊😊
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji22][emoji40][emoji40][emoji40] tulianzishe ijumaa siki ya ufunguzi wa sabato[emoji22][emoji22] nitakuwa nakuja kufungua sabato kwako[emoji4][emoji4] nimetinga dera[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nnavyo wap ww wakati huu Uzi Ni wa sie ambao hatuna.. Tukitafuta huruma
Ooh. Sikuelewa basi. Huruma ya nini sasa na wewe Word. Kila mtu na alivyopangiwa ujue na kama juhudi za kutafuta mkwanja zipo vitakuja tu one day.
 
Back
Top Bottom