Kama huna gari wala Usihangaike kuifungua hii thread. Achana nayo, itakuumiza moyo tu


Bado nashindwa kuelewa Target yako ni Nani Title umekataza wasio kuwa na gari kutosoma thread yako huku content ya thread ukiwa umelenga wasio kuwa na Gari Where is your Target area?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umekula lakini? We utakuwa mhaya maana ndio wazee wa kiki
 
Kwa hiyo mkuu @kidukulilo siku hizi unaishi hapa nchini hukai tena ma mtoni
 
Mm naona hio haitoshi nunua helkopta utaenjoy zaidi kwa hali hio wewe sio wa level hizi za kawaida ulishakua next level your suppose to change accordingly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetahadhalishwa kwamba kama sina gari, nisiingie hapa!...kiherehere changi najua ni namna gani kimenipa shambulio la aibu la moyo!
 
Hebu tuoneshe kidogo hyo funguo ya bmw,Benz,range Rover,Hummer kidogo mm Niko na kabbywalker changu Niko nacho shamba sangamwalugesha ili tukija mjin tukuone Mr misifa kiduku lilo

kilicho akilini kitumie
 
Hii ndo jamiiforum kwa kweli

Unaweza kuta huyu jamaa na misifa yake yote hii hajala chakula toka asuhuhi....

Ila ndo maisha yetu binadamu maana tumejificha nyuma ya keyboard zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…