Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitz hawezi huyu mwisho wake used Starlet.BMW..Range. ...Benz. ..huna ila ukiacha kuandika upupu utapata hata Vitz miaka ijayo
Habarini. Jana nilipita sehemu fulani nikakuta wananchi wamejazana sana wanasubiria Usafiri. Nilikuwa na BMW nikatamani niweze wasaidia lakini sikuweza kiukweli.
Nikawa nawaza mwenyewe njiani, hivi maisha bila gari inawezekana kweli? Unaendaje sehemu yoyote ile? Ni mtihani sana, mimi naboreka haraka hata kutumia gari moja siku tatu mfululizo naona kama nitalichosha.
Ndo maana na-change leo BMW, kesho Benz, mara Jeep au Range Rover. Sababu naona maisha bila kuwa na gari mbili tatu ni mateso.
Huwa nasema mtu akishindwa sana angalau awe hata na Usafiri kama Harrier, Rav 4, Suzuki au Nissan. Hizi si mbaya you can move from one place to another.
Kwa mtu ambaye anategemea usafiri wa umma. Hivi maisha yake yanakuaje? Anaweza kweli kupanga ratiba? Anaweza kuwa na furaha? Ni ngumu sana.
Dar kila kitu shida. Mvua shida, jua shida. Mimi magari yangu huwa tu kuna kipindi nafanya mazoezi ya kushusha na kupandisha vioo ili visije sahau kushuka na kupanda.
Maana toka gari nmezinunua ni full time AC. Sielewi ningeishi vipi bila gari hapa nchini. Ni ngumu sana maisha yanakuwa magumu kama jehanamu nadhani sijui huko kukoje nasikia sikia maisha ni tough sana.
Mimi nashauri kijana ukimaliza tu darasa la saba tafuta usafiri hata ya milion 20. Uwe unakusaidia kwenye mizunguko yako ili upate akili baadaye uje kununua gari lenye akili.
Unajua magari ya Ulaya mengi ni Very Intelligent haya ya Asia mengi hayana Brain. Mimi gari zangu zinanitambua kwa alama za vidole, macho n.k
Natamani watu wengi wenye magari tungekuwa na ushirika angalau tufahamiane. Mimi spares zangu nachukua huko huko Ulaya na Marekani. sijui kama kuna maduka ya spares hapa Tanzania. Hivyo kama kuna mtu ana gari models za kuanzia 2017 mpaka leo za Ulaya na Marekani tuwasiliane.
Ukishindwa nunua hata Harrier au Vanguard au Rav 4. Usibaki sana nyuma nyuma katika maendeleo.
Kwa hali hii sina budi kusema CHIT CHAT idumu daima.
Umekula lakini? We utakuwa mhaya maana ndio wazee wa kikiHabarini. Jana nilipita sehemu fulani nikakuta wananchi wamejazana sana wanasubiria Usafiri. Nilikuwa na BMW nikatamani niweze wasaidia lakini sikuweza kiukweli.
Nikawa nawaza mwenyewe njiani, hivi maisha bila gari inawezekana kweli? Unaendaje sehemu yoyote ile? Ni mtihani sana, mimi naboreka haraka hata kutumia gari moja siku tatu mfululizo naona kama nitalichosha.
Ndo maana na-change leo BMW, kesho Benz, mara Jeep au Range Rover. Sababu naona maisha bila kuwa na gari mbili tatu ni mateso.
Huwa nasema mtu akishindwa sana angalau awe hata na Usafiri kama Harrier, Rav 4, Suzuki au Nissan. Hizi si mbaya you can move from one place to another.
Kwa mtu ambaye anategemea usafiri wa umma. Hivi maisha yake yanakuaje? Anaweza kweli kupanga ratiba? Anaweza kuwa na furaha? Ni ngumu sana.
Dar kila kitu shida. Mvua shida, jua shida. Mimi magari yangu huwa tu kuna kipindi nafanya mazoezi ya kushusha na kupandisha vioo ili visije sahau kushuka na kupanda.
Maana toka gari nmezinunua ni full time AC. Sielewi ningeishi vipi bila gari hapa nchini. Ni ngumu sana maisha yanakuwa magumu kama jehanamu nadhani sijui huko kukoje nasikia sikia maisha ni tough sana.
Mimi nashauri kijana ukimaliza tu darasa la saba tafuta usafiri hata ya milion 20. Uwe unakusaidia kwenye mizunguko yako ili upate akili baadaye uje kununua gari lenye akili.
Unajua magari ya Ulaya mengi ni Very Intelligent haya ya Asia mengi hayana Brain. Mimi gari zangu zinanitambua kwa alama za vidole, macho n.k
Natamani watu wengi wenye magari tungekuwa na ushirika angalau tufahamiane. Mimi spares zangu nachukua huko huko Ulaya na Marekani. sijui kama kuna maduka ya spares hapa Tanzania. Hivyo kama kuna mtu ana gari models za kuanzia 2017 mpaka leo za Ulaya na Marekani tuwasiliane.
Ukishindwa nunua hata Harrier au Vanguard au Rav 4. Usibaki sana nyuma nyuma katika maendeleo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtu analeta zarau hata baiskel hanaHuo ndo ukweli,
Usipokua na hata usafiri (achilia mbali gari) we ni fala tu humu duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuoneshe kidogo hyo funguo ya bmw,Benz,range Rover,Hummer kidogo mm Niko na kabbywalker changu Niko nacho shamba sangamwalugesha ili tukija mjin tukuone Mr misifa kiduku liloHabarini. Jana nilipita sehemu fulani nikakuta wananchi wamejazana sana wanasubiria Usafiri. Nilikuwa na BMW nikatamani niweze wasaidia lakini sikuweza kiukweli.
Nikawa nawaza mwenyewe njiani, hivi maisha bila gari inawezekana kweli? Unaendaje sehemu yoyote ile? Ni mtihani sana, mimi naboreka haraka hata kutumia gari moja siku tatu mfululizo naona kama nitalichosha.
Ndo maana na-change leo BMW, kesho Benz, mara Jeep au Range Rover. Sababu naona maisha bila kuwa na gari mbili tatu ni mateso.
Huwa nasema mtu akishindwa sana angalau awe hata na Usafiri kama Harrier, Rav 4, Suzuki au Nissan. Hizi si mbaya you can move from one place to another.
Kwa mtu ambaye anategemea usafiri wa umma. Hivi maisha yake yanakuaje? Anaweza kweli kupanga ratiba? Anaweza kuwa na furaha? Ni ngumu sana.
Dar kila kitu shida. Mvua shida, jua shida. Mimi magari yangu huwa tu kuna kipindi nafanya mazoezi ya kushusha na kupandisha vioo ili visije sahau kushuka na kupanda.
Maana toka gari nmezinunua ni full time AC. Sielewi ningeishi vipi bila gari hapa nchini. Ni ngumu sana maisha yanakuwa magumu kama jehanamu nadhani sijui huko kukoje nasikia sikia maisha ni tough sana.
Mimi nashauri kijana ukimaliza tu darasa la saba tafuta usafiri hata ya milion 20. Uwe unakusaidia kwenye mizunguko yako ili upate akili baadaye uje kununua gari lenye akili.
Unajua magari ya Ulaya mengi ni Very Intelligent haya ya Asia mengi hayana Brain. Mimi gari zangu zinanitambua kwa alama za vidole, macho n.k
Natamani watu wengi wenye magari tungekuwa na ushirika angalau tufahamiane. Mimi spares zangu nachukua huko huko Ulaya na Marekani. sijui kama kuna maduka ya spares hapa Tanzania. Hivyo kama kuna mtu ana gari models za kuanzia 2017 mpaka leo za Ulaya na Marekani tuwasiliane.
Ukishindwa nunua hata Harrier au Vanguard au Rav 4. Usibaki sana nyuma nyuma katika maendeleo.
Hahahaaa. Hebu niache huko. 💃💃💃💃💃Natamani nikuchokoze ila nitaaribu uzi wa watu[emoji16]
Hahahaaa. Hebu niache huko. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Unataka kunitambia eee? Haya ishia hapo hapo tusiharibu uzi. 🤣
asante mkuu sikutegemea kucheka mchana huuWakuu, hivi mmeshawahi kuona mtu anatafuna maji? Amini nawambia kuna watu wanatafuna maji.