Kama huna hela usiombe namba

Uzur wa jamii forum machiz mpo weng yaan full burudan ila nimekuelewa sn bro
 
Haaah mkuu umetisha kuna cheque book feki apa ofisin uje uchukue uvitandike mpaka vikome
 
Tena siku hizi wanakuja na gia ya nikopeshe, mimi ndani ya 2days nimeombwa 100k, 30k, 30k, 10k na 7k.. nikawaza hivi hela zote hizi nikiwa natoa kila zinapoombwa itakuwaje?
Kuna muda unawaza mpka kwenda kununua malaya.. wadada wa mjini njaa kali sana, alafu kutoa k wagumu [emoji2][emoji2]

Sema siku hizi nimekuwa bahiri hatari, [emoji2][emoji2] sitoi hela kizembe yan lazima atoe k apewe hela hataki akafie mbele.
 
Mi kuna mmoja kaniomba elfu 50,nimemtumia kiroho safi..

On top kasema nimtafute anipe mbususu kama shukran.

Na ni mke wa mtu ........
Don't do favors for a woman today and expect to get sexual favors tomorrow. You will fail miserably because they are not wired like that. If you must do such nasty trades, use a cash on delivery model (unalipa mzigo ukiwa njiani).
 
Don't do favors for a woman today and expect to get sexual favors tomorrow. You will fail miserably because they are not wired like that. If you must do such nasty trades, use a cash on delivery model (unalipa mzigo ukiwa njiani).
thread closed
 
Mkuu hapana aiseee.. Nimetokwa kupigwa zinga la 50K kikoba hapo hata chupi sijaona.. Nikaona sasa Mungu anaaamua kuninyoosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Aaaah mkuu yale masihara yetu hayakufanya kazi kbsa mpka ukaruhusu hili kutokea?

Badaye tunakuweka kwny kikao tukujadili
 
ukimpa uhuru ,utapigwa sana hutoamini
Ili hii mbinu ifanye kazi ni lazima mwanamke husika awe anaamini kwamba una hela nyingi. Na wewe mwenyewe lazma ujiweke ktk muonekano wa kuaminika. Na wakati unamweleza unakua siriaz kama kweli vile.. hapo utakula mbususu bure mpaka uchoke.
Unamuambia "we siku ukiwa na wazo la biashara unataka mtaji kuanzia milioni kwenda juu niambie" Sasa mpaka apate wazo ni lini
 
Wewe ndo umemwambia ukweli Sasa, sio rahisi kumpata tajiri muhongaji wengi mabahili wa kutupa wana mitihani hao ukiivuka Basi unajilia kiulainiii, ila kuivuka ndo inataka uvumilivu wa hali ya juu sana
Kwakweli, hela uliyoitolea jasho inaheshima yake bwana siyo ya kugawa hovyo😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…